Tangu nijiunge JF, nimeweka bando la Tsh. 500 tu, mpaka leo halijaisha! Unajua kwanini?

Utoto raha sana... Kwa hiyo na ww ni great thinker au sio
 
Technology ilivokuwa kubwa hivi!!
Mtu anatumia Opera mini 4!! Ya mwaka 2006!! Afu yuko proud kabisa


Dunia IPO kwenye,
Artificial intelligence
Big Data,
Ios 26.5,
Android 17,
Window 11,
Linux kenel version 7.1.x

Yaani kama ni kwenye Kilimo wewe unatumia mawe kulimia,!
 
Sawa.!
 
Kwani inakuletea taarifa za uongo za jamii forum? Ishu ni kupata access ya kuingia humu, hizi simu kubwa ukienda maeneo yasiyo na mtandao utajua ni mzigo.
 
Nlikuw nafanya hivyo 2017-2020 nilipokuja kumiliki smartphone yangu, bando la jero unatumia miezi sema mie Kuna muda lilikuwa linakata Kwa kudownload nyimbo na video sometimes, but it's so amazing 🤩 🙌
 
Write your reply...
Operamini ina ubia na baadhi ya nchi za africa mfano kwa africa mashariki ukitumia laini ya airtel unatumia mtandao bure kuperuzi bila mb kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…