Na bado mpaka utubu😁😁😁🤣🤣🤣
- Sihangaikii chochote naacha nature iamue!
- Sihofii chochote
- Sipambani kutafuta furaha maana najua sitakuja kuipata
Mimi ni kakitu kadogo sana na Sina maana yoyote hapa duniani
Nadhani anashida nyingine nje na hiiMpaka sasa umebakisha stage kama tatu tu kwenda mbinguni kukutana na muumba wako..endelea hivyohivyo usiache kusali
Jamaa una roho safi sana, ubarikiweSafi sana umekula lakini?maana Kuna sehemu nimeona unaomba 3k ukale.
Nijibu
Una watoto?
- Sihangaikii chochote naacha nature iamue!
- Sihofii chochote
- Sipambani kutafuta furaha maana najua sitakuja kuipata
Mimi ni kakitu kadogo sana na Sina maana yoyote hapa duniani