Tangu nijue sina umuhimu wowote hapa duniani, nimekuwa mwenye amani sana!

Tangu nijue sina umuhimu wowote hapa duniani, nimekuwa mwenye amani sana!

Unauhakika na digit sita unazozisema mkuu? Yani digit sita kubwa kuliko zote ni laki 9, tisini na tisa elf, mia tisa tisini na tisa (999,999). Una uhakika hii laki tisa ikiwa kwenye account jamaa ataona thamani ya maishaa..🤔🤔!?
Kila mtu na anavyotafsiri financial freedom.
Yeye kaamua kuishi humo
 
Kama unavyosema ndivyo unavyojisikia, then changamoto yako sio kubwa sana.
Ukipata msaada sahihi unavuka mapema sana.

Umekutana na disappointments flan, umeshindwa kuzihimili kihisia, zimekupa mfadhaiko mkubwa uliokupa hiki unachokisema hapa.

Kuja kuandika hapa ni ishara ya kua tatizo lako ni dogo tuu..
Hata wewe mwenyewe deep down hauamini ulichoandika, ila umekwama kiasi kwamba reality inataka kufanana na unayosema, yani huoni kwa macho kitu tofauti na unachosema

Ila maumivu ulioyaonesha kwenye kuandika yanamaanisha ndani mwako unaona vitu vingine ila kwenye reality haviwiii, there comes disappointment.
Well articulated mkuu
 
Kuna namna hiki unachosema ni kweli. Akijiona ndani anajijua kabisa kua he's great, probably wanaomzunguka nao wanajua kua jamaa ana kitu upstairs, ila uhalisia wa maisha umempa disappointments
Ukisoma katikati ya maandishi yake unaona akili kubwa sana!, he's smart na ana potential kubwa sana ,ni maisha tu nadhani hayajampa alivyo vihitaji.
Mimi nimeongea nae ni kijana mwezetu tu 28 yrs
 
Boss tuweke namba tuokote?
Hata mimi yatima ujue sina maisha kabisa boss 😹😹😹

We Binti wa zamani usije kusema sijakwambia kuna Faza xmas huku anaanza kufanya yake 🤣😹😹
Ila mwanakwetu 😅 asante kwa kunishtua, tajiri amesemaje sasa 🤣.

Ila kiukweli nikiona mtu anaandika kama huyu mleta nyuzi, na ni kijana amekata tamaa, najisikia vibaya sana. Maisha yana ukatili mwingi, shida za dunia zinatengeneza matatizo ya kisaikolojia yanayoumiza hawa watoto. Natamani nikakumbatie nikaambie kila kitu kitakua sawa, kasikate tamaa.

Hornbil tunaweza kukusaidiaje, ni nini unahitaji? hali gani imekufikisha hapa?
 
Hiki chama kimesababisha nchi hii kua na vijana wa hovyo grade one...☹️
 
Too young to feel worthless
Nimeongea nae ni kijana safi na alikua na maisha safi tu before.
Kujaribu jaribu mambo ndio kumemrudisha nyuma.

Though anaharibu uwinga pia hapa nimemwambie aaze kuja kkoo mapambano yaendelee!

 
Ila mwanakwetu 😅 asante kwa kunishtua, tajiri amesemaje sasa 🤣.

Ila kiukweli nikiona mtu anaandika kama huyu mleta nyuzi, na ni kijana amekata tamaa, najisikia vibaya sana. Maisha yana ukatili mwingi, shida za dunia zinatengeneza matatizo ya kisaikolojia yanayoumiza hawa watoto. Natamani nikakumbatie nikaambie kila kitu kitakua sawa, kasikate tamaa.

Hornbil tunaweza kukusaidiaje, ni nini unahitaji? hali gani imekufikisha hapa?
Na mimi naomba kumbato 😅
 
Nimeongea nae ni kijana safi na alikua na maisha safi tu before.
Kujaribu jaribu mambo ndio kumemrudisha nyuma.

Though anaharibu uwinga pia hapa nimemwambie aaze kuja kkoo mapambano yaendelee!

Umefanya jambo jema sana.
 
Nimeongea nae ni kijana safi na alikua na maisha safi tu before.
Kujaribu jaribu mambo ndio kumemrudisha nyuma.

Though anaharibu uwinga pia hapa nimemwambie aaze kuja kkoo mapambano yaendelee!

Safi sana Mkuu
 
Chonde usijiue kwa kunywa sumu ama kujinyonga, hakuna binadamu/mwanaume mpambanaji mwenye mawazo kisoda/finyu kama yako. Pambana sana na jione kama mshindi.
 
Back
Top Bottom