Binti wa zamani asante kwa kujali.
Hali gani imekufikisha hapo?
Hali hii inatokana kupoteza maana ya kuishi ambayo imetokana disappointments kwenye maisha.
Hayo nadhani yameniondolea purpose kwenye haya maisha mpaka nimefika.
Kupoteza kazi na kutopata kazi pia nk
Tukusaidiaje/unahitaji nini?
Pakuazia ni kuwa Mimi ni winga humu kama nilivyojitangaza,azia hapo kanisapoti mkuu kama upo dar ulizia chochote utaletewa mpaka ulipo ndio ulipie.
Nadhani nitapata chochote kitu niweze kusurvive hapa nilipo.
Shootout
Tronics guru guru kwa kwenda extra mkuu ,umeniinua sana mkuu.
Nimepata ushauri mwingi PM kama kijana naamini it is never too late,japo nimepoteza vitu na time pia.
Asante kwa hug mkuu ,Xoxo kwako🙏