Tangu nijue sina umuhimu wowote hapa duniani, nimekuwa mwenye amani sana!

Tangu nijue sina umuhimu wowote hapa duniani, nimekuwa mwenye amani sana!

Ila mwanakwetu 😅 asante kwa kunishtua, tajiri amesemaje sasa 🤣.

Ila kiukweli nikiona mtu anaandika kama huyu mleta nyuzi, na ni kijana amekata tamaa, najisikia vibaya sana. Maisha yana ukatili mwingi, shida za dunia zinatengeneza matatizo ya kisaikolojia yanayoumiza hawa watoto. Natamani nikakumbatie nikaambie kila kitu kitakua sawa, kasikate tamaa.

Hornbil tunaweza kukusaidiaje, ni nini unahitaji? hali gani imekufikisha hapa?
Be careful kuna kiumbe anaitwa figo ana mbinu mbalimbali..!!

JF ni kichaka chenye wanyama wakali 😹😹
 
Ila mwanakwetu 😅 asante kwa kunishtua, tajiri amesemaje sasa 🤣.

Ila kiukweli nikiona mtu anaandika kama huyu mleta nyuzi, na ni kijana amekata tamaa, najisikia vibaya sana. Maisha yana ukatili mwingi, shida za dunia zinatengeneza matatizo ya kisaikolojia yanayoumiza hawa watoto. Natamani nikakumbatie nikaambie kila kitu kitakua sawa, kasikate tamaa.

Hornbil tunaweza kukusaidiaje, ni nini unahitaji? hali gani imekufikisha hapa?
Binti wa zamani asante kwa kujali.
Hali gani imekufikisha hapo?
Hali hii inatokana kupoteza maana ya kuishi ambayo imetokana disappointments kwenye maisha.
Hayo nadhani yameniondolea purpose kwenye haya maisha mpaka nimefika.
Kupoteza kazi na kutopata kazi pia nk
Tukusaidiaje/unahitaji nini?
Pakuazia ni kuwa Mimi ni winga humu kama nilivyojitangaza,azia hapo kanisapoti mkuu kama upo dar ulizia chochote utaletewa mpaka ulipo ndio ulipie.
Nadhani nitapata chochote kitu niweze kusurvive hapa nilipo.

Shootout Tronics guru guru kwa kwenda extra mkuu ,umeniinua sana mkuu.

Nimepata ushauri mwingi PM kama kijana naamini it is never too late,japo nimepoteza vitu na time pia.
Asante kwa hug mkuu ,Xoxo kwako🙏
 
Hapana aisee sijafikia hiyo hatua.Mimi yaani kila uchwao ninawaza kukua zaidi kila eneo la my life aisee. Na ninaitafuta furaha kwa nguvu zote. And kuhakikisha kizazi changu kiishi kwa furaha kwa kweli.Usikate tamaa bwana.
 
Unauhakika na digit sita unazozisema mkuu? Yani digit sita kubwa kuliko zote ni laki 9, tisini na tisa elf, mia tisa tisini na tisa (999,999). Una uhakika hii laki tisa ikiwa kwenye account jamaa ataona thamani ya maishaa..🤔🤔!?
Mzee ndio maana nimesema digit 6 na kuendelea naelewa kuna watu hiyo 999,999 sio kitu kwao ila kuna wakina sisi hiyo pesa nyingi mno mno.

Asilimia 90 ya kuona maisha hayana thaman ni kjwa broke kaka hiyo hali nimepitia na still struggling so naelewa
 
Hapana aisee sijafikia hiyo hatua.Mimi yaani kila uchwao ninawaza kukua zaidi kila eneo la my life aisee. Na ninaitafuta furaha kwa nguvu zote. And kuhakikisha kizazi changu kiishi kwa furaha kwa kweli.Usikate tamaa bwana.
Vijana wamekuwa walaini walaini sana.
 
Hii dunia haitaki akili nyingi.

Unatakiwa uwe mjinga mjinga tu ndo unaenjoy mpaka unadata.

Piga bia, angalia mipira na movies, tombana, firana, nenda mbuga za wanyama, tembea tembea, fanya vituko, ruka, jamba, cheza cheza utaenjoy sana.

Nasikia tiktok wameanzisha challenge ya kujamba kwenye beseni.

Cc: Thesonboy
🤣🤣🤣, Ila we bibie hapana aisee 😂!
 
  • Sihangaikii chochote naacha nature iamue!
  • Sihofii chochote
  • Sipambani kutafuta furaha maana najua sitakuja kuipata

Mimi ni kakitu kadogo sana na Sina maana yoyote hapa duniani
Ni kweli maana ukifa hakuna kina hobadilika na maisha hanaendelea tu
 
Nature itakupa adhabu kwakuwa haipendi viumbe dhaifu na ikikupa adhabu utarudi katika hali yako na hapo ndo utakufa
Lakini iku kuwe na balance of nature lazima kuwe na vidhaifu na vyenye nguvu. Sasa pengine yeye amejiona yupo upande wa wadhaifu
 
Kama umri wako ni chini ya miaka 35 jiandae kwa maumivu siku za usoni.
Maisha hayataki mizaha ya aina hiyo.
Maisha ni mchaka mchaka mpaka kifo.
 
Nimeona wewe ni winga maana yake ni mfanyabishara kwa kifupi
Ushauri ukiwa humu kama sehemu yako moja ya kupata wateja
Usijihusishe na majibizano ya siasa
Usijihusishe na majibizano ya dini

Winga huwa hana itikadi za siasa wala imani ya dini, sababu unahitaji wateja wowote kwako ndio mpango mzima, kama unazo, ziwe siri yako
cc Kalaga Baho Nongwa , huyu ni mjanja wa Kariakoo, atakupa moja na mbili
 
Mkuu nimehama kabisq bara nitake radhi, naishi Zanzibar
 
Back
Top Bottom