Tronics guru
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 10,442
- 8,074
Huwezi jua wanapitia nini hawa ,3k inaweza sababisha mtu ajikubali na kuinuka tenaJamaa una roho safi sana, ubarikiwe
Huwezi jua wanapitia nini hawa ,3k inaweza sababisha mtu ajikubali na kuinuka tenaJamaa una roho safi sana, ubarikiwe
Weka namba hapa au pm mkuu,au kama upo karibu na mgahawa weka lipa namba nikusapoti lunch ya 5kOhoo yes mkuu,niliomba kweli
Sikupata
Kila mtu angewaza kama wewe..hii DUNIA INGEKUJA KUA MOJA YA SEHEMU YA OVYOO.
- Sihangaikii chochote naacha nature iamue!
- Sihofii chochote
- Sipambani kutafuta furaha maana najua sitakuja kuipata
Mimi ni kakitu kadogo sana na Sina maana yoyote hapa duniani
Unauhakika na digit sita unazozisema mkuu? Yani digit sita kubwa kuliko zote ni laki 9, tisini na tisa elf, mia tisa tisini na tisa (999,999). Una uhakika hii laki tisa ikiwa kwenye account jamaa ataona thamani ya maishaa..🤔🤔!?Kama account inasoma digit 6 na kuendelea huwezi kuwa na mawazo hayo ....niamini mimi.
Ishi mkuu na hicho kidogo mkuu🙏Shukrani sana nimepata View attachment 3514696
Boss tuweke namba tuokote?Weka namba hapa au pm mkuu,au kama upo karibu na mgahawa weka lipa namba nikusapoti lunch ya 5k
Nilikua nasoma hustle na life Odds za Le mutuz nilijifunza mengii mengii sanaa.Yes kuwaza tofauti ndio maisha yenyewe
Kama unavyosema ndivyo unavyojisikia, then changamoto yako sio kubwa sana.
- Sihangaikii chochote naacha nature iamue!
- Sihofii chochote
- Sipambani kutafuta furaha maana najua sitakuja kuipata
Mimi ni kakitu kadogo sana na Sina maana yoyote hapa duniani
🤣🤣Mchangieni kijana apate ugali jeone ya leo hukooBoss tuweke namba tuokote?
Hata mimi yatima ujue sina maisha kabisa boss 😹😹😹
We Binti wa zamani usije kusema sijakwambia kuna Faza xmas huku anaanza kufanya yake 🤣😹😹
Kuna namna hiki unachosema ni kweli. Akijiona ndani anajijua kabisa kua he's great, probably wanaomzunguka nao wanajua kua jamaa ana kitu upstairs, ila uhalisia wa maisha umempa disappointmentsIla inawezekana una IQ kubwa ambayo haijakusaidia kitu ndio maana umefikia level hiyo ya kufikiria.