Tangu nipatwe na Matatizo kazini, mke wangu amebadilika tabia

Mwanamke kabila gani Hilo nichukue taadhari

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo mnatafuta wanawake wakusaidiana maisha siyo wapenzi hapo ndio shida inaanzia, tafuteni wapenzi siyo wanawake wa kusaidia mapenzi
 
Wanawake ni watu wasio fikiria mbele, unaweza ishi nao, ila ukipata matatizo tu na wao wakawa na fursa kidogo lazima ndoa iyumbe.

Nikupe mfano mm mwenyew nilikuwa na mke, Mimi mtumishi yeye mjasiriamali anafanya biashara ndogondogo hakuwa na mtaji mkubwa sana, kuna kipindi niliathirika kimapato, yeye ndiye akawa anaendesha familia kwa biashara zake ndogondogo.

Akaambiwa na mashoga zake kwamba siwezi rudi tena kazini, akaanza jeuri kama tu unavyofanyiwa Wewe, bahati nzuri nikarudishwa na nafasi yangu ile ile kazini.

Siku hizi amebadilika na kujifanya ana upendo Nami ,huu ni mwaka wa nne tangu nirudi kazini. Lakini ndani ya moyo wangu bado nimedhamiria kulipiza kisasi,hata ichelewe vipi. Ila yeye hajui. Siku ikifika nitamtimua kama mbwa mwizi. Na mtaji amekatia yeye sasa yupo home tu.

Kwa hiyo ushauri wangu, hawa wanawake huwa wanaamini tukitetereka hatuwezi kurudi, lakini Mimi naamini utakaa tu Sawa, kipato kitaimarika wala usikate tamaa, wakati ukisubiria mambo yako yakae Sawa, tafuta mtaji Fanya biashara ndogo ndogo.

Haya ni mapito ambayo huwa tunapitia hapa duniani. Kama umegundua unanyanyasika na unaichukia hiyo hali chukua hatua, hawezi kukuelewa huyo mwanamke. Ila kama unaona huumii na unaona kawaida endelea kuvumilia.

Wanawake wana roho za ajabu sana, mwanaume unaweza kuishi na wanawake hata wanne na wote wasio na kazi, lakini mwanamke kuishi na mwanamme asiye na kazi hawezi kabisa. Hivyo chukua hatua
 
Hatari boss awa wanakuja KWA ajili ya maslahi yao , sasa bora asepe asiwe mshirikina
 
Mkuu mbona wanawake wakizungu wanapenda sana kuwa pamoja muda wote na wanaume wao, yani ukiwa na mpenzi waki Zungu atakuganda muda wote atataka muwe wote.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Hapana bwana mie mke bora atombwe nijue naweza samehe lakini sio dharau especially pale napo pitia financial difficulties.

Mkuu mbona wanawake wakizungu wanapenda sana kuwa pamoja muda wote na wanaume wao, yani ukiwa na mpenzi waki Zungu atakuganda muda wote atataka muwe wote.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Waswahili tu mzee ndio shida ,
 
Wanawake sio wavumilivu mtu wangu, unaweza kuwa umempa raha zote mpaka ukapitiliza kwa muda wa miaka kibao ila ukikosa kazi tu anaona we ni mbuzi tu anakufuga.

Btw kama ana mshahara mzuri mwambie akupe mtaji unaoona unaweza kufanya chochote kitakachiweza kukufanya uihudumie familia kama baba.

Na pia kwa kipindi hiki ukubali tu kuchapiwa wanawake hawana maana sometimes wanadanganyika kirahisi na kwa vitu vidogo, wewe unawezakua unatumia 10,000 hapo nyumbani na familia yako kwa siku, thus kwa mwezi ni laki 3, lakini akatokea mpumbavu mmoja akampa elfu 30 siku moja akaona amejaliwa zaidi kuliko unavyomjali wewe.

Kwa sasa jitahidi upunguze stress, zoea hayo maisha, pambana kivingine, jitunze, wanawake wanachakaa mapema kuliko wanaume, lakini wanaume wanakufa mapema laa stress so zingatia hilo.

Hapa nina case study nyingi sana za wanaume wanaopitia magumu, mwingine anasema ilifika kipindi kitandani akigusana tu na mke wake kwa bahati mbaya, mke anamwambia anakereka, anasikia kama amekabwa.

Mwingine anasema alikua akikaribiana na mkewe kukiwa na baridi akaimgusa mkewe anamwambia anasikia joto, kukiwa na joto akimgusa anamwambia anasikia baridi yani ilimradi amtestress mumewe tu afe kabla ya wakati

Mtumaini Mungu atakunyanyua Utukufu kwenda Utukufu.
 
Hapo dawa ni kuondoka home tu nenda hata mkoa mwingine au kitaa kingine panga hata chumba huku unajipanga upya. Weekend unarudi unazuga umetoka safari.

Ila kama huna mpango nae ni muda sahihi wa kuachana nae. Uke msemo, filisika tujue tabia ya mkeo umetimia.
 

Duuu!!hawa viumbe nazan tabia zao ulimwenguni kote zinafanana, mwanamke mzuri Ni yule unayempata ukiwa huna maisha from zero Ndiye mwenye uvumilivu pekee wakati mwengine hata familia pia zinakua kichocheo utakuta wanauliza Kwan mwezio anafanya shughuli gani, asisubutu kuwaambia hana kazi utajuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…