Tangu nipatwe na Matatizo kazini, mke wangu amebadilika tabia

Tangu nipatwe na Matatizo kazini, mke wangu amebadilika tabia

Shida inakuwa moja wanahangaika wee
Kisha wanarudi wenyewe uwe umefanikiwa au haujafanikiwa huwa wanarudi tu na MAJUTO
Shida inakuwa wanarudi na mtoto mwingine
Kwangu ni ngumu na nlimuambia LIVE bila chenga kabisa
Yaan uniache mwenyewe kwenye NDOA uondoke Ukazini uzarishwe mtoto kisha urudi kwangu
Hilo haliwezekani sahau
Kama PAPUCHI kaileta naichakata vizuri tu
Hahahaha usirudi nyuma
 
Mi mwnyw nashkuru wife wangu lasaba[emoji4]
Inabidi mwamba apitie hizi nondo kidogo
Screenshot_20221225-135908_Moon%2B%20Reader.jpg
 
Kama ni kweli wewe ni moja kati ya wale wanaume wazembe sana..unakaaje ndani ukisubiria kuletewa na mwanamke..mwanaume mwiko kukaa ndani ata kama unaumwa ndo iwe principle..toka nje katafute shughuli ya kufanya ata ukirudi bila pesa kesho toka tena na tena..fanya ata udalali
 
Pesa pesa pesa pesa
Yaani ni kwamba wanawake hawajumbiwa ku provide ever hata akikuprovide basi make sure iwe ni muda mfupi😃
 
Kama ni kweli wewe ni moja kati ya wale wanaume wazembe sana..unakaaje ndani ukisubiria kuletewa na mwanamke..mwanaume mwiko kukaa ndani ata kama unaumwa ndo iwe principle..toka nje katafute shughuli ya kufanya ata ukirudi bila pesa kesho toka tena na tena..fanya ata udalali
Kakwambia kodi ya meza anatoa kama kawaida
 
pamoja na kuwa nashinda ndani ila hela napata, kuna watu nawafanyia kazi kwa pc yangu tu nyumbani
HUa sielewi watu wanaolazimisha mtu utoke nyumbani kila asubuhi na urudi usiku sababu tu huna kazi, yaani kwa mfano unatoka unaenda wapi sasa wakati kazi zote skilled zinaombwa kwa utaratibu wa barua ama barua pepe ama simu.
 
1.Relaaaxxx mkuu, focus hapo ni kupata job nyingine.

2. Inawezekana kapata stress kwa yaliyokukuta na unamwambukiza.

3. Create hope kuwa utakaa sawa.

4. Akili kumkichwa anza kutenganisha vyako na vyake, hata issue ziki click.

5. Kagusia suala la kuachana, tafuta siku ukiwa in good mood na yeye pia, toka out. Agenda moja tu bila jazba, kuwa kila mtu akiiskiliza nafsi yake, inamwambiaje, what's time break up or make up? bila ugomvi.

Na kama ni break up mnaliendeaje hilo suala bila kuumizana.
 
[emoji3][emoji3][emoji3]Kuna jamaa alikuwa na mchumba wakati anafanya kazi. Miezi miwili kabla ya ndoa akatumbuliwa, ndoa ilipofungwa haikuchukua six months ikavunjika.

Wanawake wasikuizi hawataki kusikia mwanaume hauna pesa, tunatakiwa vijana tusikimbilie kuoa kwasababu umepata kazi na mshahara ghafla tu unatafuta mwanamke una muoa baada ya miaka miwili mbele uchumi una yumba mke nyumbani ana anza kusumbua.

Kwao vijana tunatakiwa tutafute wachumba kabla ya kupata kazi nzuri na maisha mazuri tusitafute maisha mazuri kwanza kabla ya kuwa na mpenzi, hii itatusaidia kumjua mke bora wa kuoa kwasababu utakavyo kuwa na maisha siyo mazuri ndipo utamjua mwanamke kama ana kupenda, ukiwa na maisha mazuri huwezi kujua kama unapendwa mwanamke ana weza kuishi na mwanaume asiyempenda na mwanaume hasijue na pesa zikiisha tu ndiyo unaanza kujua.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Wanawake ni watu ambao utakiwi kukaa nao karibu mda wote nyumbani ni rahisi kuvurugana, bora muonane usiku wakati wa kulala. Ukishinda nae mda wote achelewi kukutuma mwiko au kijiko, kesho atakuambia uoshe viombo.

Weakness zao akishakuzoea ukuona wa kawaida tu SAwa na mtoto tu.
 
sijui kama ni ya kitoto ningeisema hapa ema humu kuna watu wengi watanijua na huwa wanaona ndoa yetu ni mfano hata marafiki wa mke wangu huwa wanatusifia sana
Aiseeee[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]ndoa za show off,pambana mkuu ujinasue ss hatuna cha kukushauri zaid ya ww kukaa na serikali yako ya kichwa
 
bora wewe ata umeweza mwaga tofali sie wengine tunaishia kusafisha kiwanja tuu. hela zikifika million threesome inaondoka nazo [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom