Tangu nipatwe na Matatizo kazini, mke wangu amebadilika tabia

Kunywa Pepsi dada...nitalipia
Hakuna mwanamke asiejielewa, ukiona unamuona hajielewi basi ujue mumewe ni furushi. Kazi yako nini sasa hadi mkeo asijielewe😳😳😳
Sure yani...unajikuta janaume limekaa km.furushi la mavi etc mume..hapana jmn..maisha sio marahisi hvo
 
Siku ukikua au utakapokuwa na akili ndio utaelewa utopolo ulioandika
Siku hizi hakuna wanawake wa kuoa, wapo maslay queen tu.

Unamuona Diamond? Ndiyo utajua kuwa nilichoandika ni utopolo au?

Unamuoa mwanamke kila mitandao ya kijamii ana account Instagram, Jamii forums, Facebook, badoo, tinder, tiktok, snapchat, whatsapp, telegram n.k

Kazi yake ni umbea na kubishana na wanaume kama huyu.
 
Ukiondoka kwenda kujichimbia baadae wanakuja kulalama umekimbia kwenu.
 
Kunywa Pepsi dada...nitalipia
Hakuna mwanamke asiejielewa, ukiona unamuona hajielewi basi ujue mumewe ni furushi. Kazi yako nini sasa hadi mkeo asijielewe😳😳😳
Sure yani...unajikuta janaume limekaa km.furushi la mavi etc mume..hapana jmn..maisha sio marahisi
 
Mimi hii nadharia siiamini, eti kwa vile msambaa nioe msambaa mwenzangu, au mpare mwenzangu. Kwanza dada zangu siwakubali kabisa when it comes to marriage life..
Kaka. Ni vema ukaoa wa kwenu maana mbinu zao chafu bi mkubwa anazijua hivyo kukufahamisha mapema. Sasa wewe msambaa ukaoe mmakonde huko kusini ambao wamefundishwa kabisa kwamba kugawa uchi sio issue, na ninyi wasambaa mlivyo kua na wivu, si utaua Kijiji kizima kwa usinga!

Ama ukao mrangi, anaongea utadhani mchwa wanakula dari au ukakosea step ukaoa mnyamwezi utembelewe na ndugu zake na wengine Ni x wake.
 
Sasa wewe ukimuangalia diamond unaona kuna mume wa mtu au baba wa familia pale au furushi tu!!

Sio kila mwanaume ni wa kuoa jamani. Ndoa ni kwaajili ya wanaume wenye akili tu. Wengine mkifanya maamuzi mazuri ya kutokuoa, basi jitahidini msizae pia. Mtakuwa mmeiepushia dunia majanga yasiyo ya lazima.
 
Kweli kabisa..mianaume ambayo si type ya kuoa angalia hata akili zao tu..hovyo kabisa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23] Ukope nini???

Kwanini Ukope wewe na sio yeye hayo ndo makondoo nayazungumzia mpige chini jini huyo.
 
So wote tunafanya Kazi tunapata kipato but fedha zangu tu ndio zihudumie familia??za kwako??tutaendelea vipi??kwa mtindo huo bora nisioe but kwangu itakua pesa zetu zote bajeti tunapanga wote zitumike vipi
Unaona sasa!!! Sasa unataka nani ahudumie familia?
 
Mkuu napitia hali kama yako kikazi ila nashukuru mke wangu ananiheshimu zaid ya awali, ananiseidia hata ki psycholojia
Kwa kweli namshukuru sna .......
Mshukuru Sana mungu wako, Kwa kupata mwanamke mwenye uelewa
 
Ni jambo zuri ina maana hadi sasa hujaolewa [emoji3][emoji3][emoji3] na wanaume wote wanaojua majukumu yao wanaishia kufokoa mbususu na kusepa tu.
Hahahahahah nina mwaka wa 5 sijabadili mwanaume.
Pokea taarifa tafadhali.
 
Akili za wanaume wasiotaka kuoa ni za kijinga mno..utakufa na naradhi
 
Wanaume acheni kukwepa majukumu...mnasingizia et hakuna wanawake wa kuoa,si kweli.
Yani wanaume wanapiga mizinga utafikiri sijui nini..ndo mana wengne wanaolewa sasa
Na hii ndiyo sababu mashoga wengi sikuhizi, wanaume hawataki teeena kujihangaisha kwaajili ya familia zao, na wao wanataka kulelewa mwisho wanalelewaaaaaaaaaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…