Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,287
Ungeoa msukuma mkuu, yaani hao wanawake ni wife material dunia nzima, atasukuma hata toroli kuendesha family😄😄,siku ingine usirudie🤷🏾♂️mkuu me ni wa rombo mashati hapa hadi vunjo siyo umbali mrefu ki hivyo pia naye ni mchaga mwenzangu