Tangu nipatwe na Matatizo kazini, mke wangu amebadilika tabia

Kunywa bwiiiaaa kwa mangiiii ntalipa.
Ndoa ni kwaajili ya wanaume sio wavulana.
 
Hongera sana mrembo, bora kujilinda
Niwacheeeeeeee.

Hudumieni familia jamani hebu acheni masononeko wanaume mmekuwajeeeeee
Ndo maana wakina mwijaku wanaongezeka sikuhizi sababu ya kupenda slope
 
Mimi kwa umri na uzoefu niliokuwa nao ninajua kuwa asilimia 90 ya wanawake ukianguka kiuchumi, hayo unayoyapitia lazima yakupate, huwa sio wavumilivu wanapokuona umeanguka na unamtegemea yeye.

Na shida yao kubwa hawawezi kuficha hisia zao. Pole sana, nimeyapitia hayo na ninayajua, usikate tamaa, tumia hekima sana unapomshauri jambo, mgeukie Mungu na kumuomba akuondolee hasira na kukupa hekima na uvumilivu, yatapita na iko siku utasahau....
 
Wanaume acheni kukwepa majukumu...mnasingizia et hakuna wanawake wa kuoa,si kweli.
Yani wanaume wanapiga mizinga utafikiri sijui nini..ndo mana wengne wanaolewa sasa
Kinachoshangaza wanawake wanalalamika on the same problem ambayo wao wanayo against men.

Kuomba omba hela ni kero ila wavumilie kama sisi tunavyowavumilia wakitupiga mizinga.
 
Hahahah wanawake wao kuomba omba hela na kufanyiwa favours ndio kitu wao hupenda zaidi. Hata kwenye ndoa hali ni hio hio.
 
Mshukuru sana Mungu wako, Mungu hukupa mitihani ili akuonyeshe jambo lililojificha, sasa ushajua tyr unaishi na mtu ambae hakupendi kwa dhati, usimfukuze wala usifue nguo zake, kuwa mvumilivu utapata kuona na mengine mengi ambayo hukuwa unayajua, ukiamka asbh fanya mzaoezi kidogo walau dkk 20 itakufanya uchangamke kiakili, kaa ndani ila akili iwe nje, ongea na marafiki zako mbalimbali ili wakusaidie namna ya kupata kazi usisahau pia unaweza ukajiajiri kablaa unasubiri kupata kazi mpya, All the best Mkuu.
 
Ni kweli, hata ukiwa jambazi mwanamke atakubali kuishi nawe na atakufichia siri ili mradi tu uwe unahudumia effectively
Unahudumia au anakupenda na ana huruma na wewe. Mwanamke akikosa huruma na wewe automatically hakupendi.
 
Niwacheeeeeeee.

Hudumieni familia jamani hebu acheni masononeko wanaume mmekuwajeeeeee
Ndo maana wakina mwijaku wanaongezeka sikuhizi sababu ya kupenda slope
Mwijaku ana mke hayo Mambo ya kitonga wapi na wapi? Ama nimeelewa vibaya?
 
Mkuu hapo kwa diamond sio mfano bora kwanza umeona wapi akiishi na wanae wote kwa pamoja?kingine mpaka muda huu anapelekeshwa na Zari kuwaona watoto ni gharama kubwa kuliko angeoa na kupata watoto kuishi nao kwake. Kingine hajawahi kutengeneza bond yoyote miongoni mwa wanae aliowazaa kwa Mama tofauti.

Diamond akifilisika hakuna mtoto atakayeishi nae,achilia mbali kupostiwa wala kupewa mapokezi makubwa kila watakapomuona

 
Wanawake hawana tofauti hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…