Tangu nipatwe na Matatizo kazini, mke wangu amebadilika tabia

Safi
 
Mimi hii nadharia siiamini, eti kwa vile msambaa nioe msambaa mwenzangu, au mpare mwenzangu. Kwanza dada zangu siwakubali kabisa when it comes to marriage life..
Kweli we mzee dada zako hautukubali na uzuri upande wa wasambaa huwa tunaoanaga ndugu kwa ndugu
 
Hii comment yako ina chembechembe za chuki dhidi ya wanaume, nini kimefanya uwe hivo? Zesh
 
Mkuki kwa nguruwe 😂😂😂 Calimax
 
Diamond si ana pesa nyingi, na nyie wanawake si mnasema mnapendaga wanaume wenye pesa nyingi wawaoe Pellaiah
 
Chai bin uji
 
Jaribu kutoka toka uzuge Kama Kuna mchongo unasikilizia unavyokaa ndani anakuona huna mpango wowote
Haisaidii kitu kama anarudi mikono mitupu,atafute bodaboda au bajaj aendeshe
 
Ukweli mchungu ni kwamba men are providers and women are receivers
Ndio maana pesa ya mwanamke haitoki bure bure anaweza kupa na aka kudai au na masimamo juu.

Una nikumbusha mbali sana hata kipindi mzee wangu alipo kuwa ana umwa mama alijitahidi kumhusaidia mzee lakini ndio hivyo tena umri Usha enda bora wazeeka wote lakini lakini

Mwanamke yeyote wa kizazi cha sasa umuoe imewekwa ndani alafu kipato chako ni chakusua sua jiandae kusumbuliwa tu.

Kwanza akikunyima unyumba kwa mda wa mwezi mmoja kuanzia hapo tambua kuna mtu ana mpa.

Me siamini mkeo yuko fresh haumwi, hana tatizo lolote basi tambua fika kuna kitu kina hakipo sawa.

Ukiona mapenzi kwa mkeo yana pungua basi mapenzi yake kwako yameanza kushuka pia.

Kila mahusiano unayo yajua wewe either ndoa au laa mwanamke ana kuwekea mahesabu kama akiona unaenda tofauti na malengo yake ana tafuta sababu.

Most women are very shy to break up a relationship ila kuonyesha dalili tu, mbona nyingi utapata na wanajua kabisa wakitoka kwako waende wapi na ni rahisi kujua yaani wale marafiki wa kiume unao ona message zao kwenye simu yake basi kuna ambao anatembea nao.
Inabidi ujikaze kiume ila huo ndio ukweli, huo sio wako tena
 
Jaribu kutoka toka uzuge Kama Kuna mchongo unasikilizia unavyokaa ndani anakuona huna mpango wowote
Kama mwanamke ameanza kuto kuelewa hata ufanyeje ni kazi bure.
Maadamu kasema ana toa mchango kidogo home freshy.
Unaweza toka na ukaja mikono mitupu ikawa nongwa
 
Pole sana mkuu hapo moja kwa moja unaona the power of job/ money!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…