Tangu nipatwe na Matatizo kazini, mke wangu amebadilika tabia

Ushauri mzuri sana umempa mkuu.
 
Ktk maisha hamna kipind kigumu mwanamue anapitia Kama kukosa Ela ya kulisha familia.

Na kibaya zaidi MKE ulienae ndani nae akubadilikie,

Aisee Utahs Moyo wako unapitishwa ktk tanuri kali la Moto[emoji26]
Wanawake tunawapenda ila ni wakuwa nao makini sana. Ni vizuri kuoa mwanamke ukiwa huna kitu akukubalie kama ulivyo ili siku ukiwa nacho life still goes on. Ukiwa huna anaelewa
 
nilimuuliza kesho yake tukiwa tumetulia na mimi nmpoa na hasira kuhusu hili swala akajiona yuko sawa still, leo nmeshinda nalo linanitafuna sana moyoni nmeamua kuja kulitema huku
Mkuu ondoka hapo nyumbani katafute kazi.
Utakufa kwa stress.

Mwanamke ukiwa huna hela thamani yako kwake inakuwa haipo. Atakutuma kazi zote za kishenzi.
 

Kabisa amutoe wenge kwanza
 
😀😀😀Kuna jamaa alikuwa na mchumba wakati anafanya kazi. Miezi miwili kabla ya ndoa akatumbuliwa, ndoa ilipofungwa haikuchukua six months ikavunjika.
Wanawake wengi matapeli hawawezi kuvumilia mwanaume kama huna pesa and the culprit nikukosa kazi tu.

Yani akishajua mkataba umeisha vinaanza vimbwanga ili muachane tu kabla shida hazijaanza kuwazonga
 
Wanawake wa hiyo sehemu wanaitwa KV, ni kv kweli. Mwambie maagano ya ndoa yanasena "kuwa pamoja wakati wa raha na shida"
 
Hadi hapo ana mchepuko ila hajamfungulia mlango wa chumbani kwake tu. Mwanamke akianza pigo za vitimbi na kulazimisha kila mtu achukue 50 zake maana ni kwamba anataka awe free na chepuko lake.
 
Sj mpaka huyo mwenzio atake majadiliano, kwa mwanamke akitaka muachane atakukera 24/7 anaweza kuona hata unanuka vibaya ukikaa karibu yake.

No discussion yani hapo mwana ni kujikaza tu asonge mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…