othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 7,714
- 12,239
- Thread starter
-
- #61
Ochu hataki dini yake
Kama umenielewa mkuu ni kwamba kwa ss presure haipo tena, zile hisia kwamba labda kuna wahuni wanajupigia sio shida zangu tena tangu nikipate katoto ka 2000. So hayo mengine atajua yeye aliwe au asiliwe shauri yake.Kwa kifupi, atajua, na yeye atatoka nje, ataliwa, kama yeye akiwa na Nyumba ndogo haikupo shida, then ndoa yako itakuwa na Amani milele, ila kama wewe hutaki na itakutesa akitoka nje ya ndoa, then furaha yako ni ya Mda mfupi sana, utakuja kujuta.
Huo ni mtazamo wako tu mkuu, katoto nimekapima kapo negative, me najipakulia tu minyama.Shida yako wewe ni low self esteem. Hicho kitoto cha elufu mbili kinakuchuna na kwenda kula la bwana wake mmoja wa elufu mbili kama yeye. Jiandae kupeleka ukimwi kwenye familia yako.
Atajua mwenyewe, sasa hv hata mishe zangu kipato kimeongezeka kuliko awali, ule muda niliokuwa nikikaa kumuwaza yy sasa napiga mishe na kipato kina rise.Mkeo pia atakua anawaza hivyohivyo.Michepuko inasaudia kuleta amani miongoni mwetu.Nyumbani mnakutana kulea watoto tu.
Nakupa tahadhari tu dogoHuko mbele hakuna anayekujua papoje hata kwa wale wasiokuwa na nyumba ndogo mkuu.
Tulia dogo, hakuna tahadhari uliyoitoa hapo.Nakupa tahadhari tu dogo
USSR
Ni kujipa moyo tu, wivu utabaki palepaleMwanzo wakati sina mpango wa kando nilikuwa napata shida sana ku-handle ndoa yangu na ukizingatia shemeji yenu ni mfanyakazi basi muda wote nilikuwa na kihoro cha kuchapiwa na kuhisi siheshimiki kama baba.
Nilikuwa naona nafasi yangu ni finyu sana na pia wivu uliopitiliza ulitamalaki moyoni mwangu. Akichelewa kurudi kazini kama mimi nimewahi kurudi kutoka kwenye mishe zangu basi nilihisi wajuba wa kazini wanakula tunda la upendo la my wife wangu. Hakika niliteseka sana.
Sasa niliamua kujilipua na kupata katoto ka 2000 ambacho kanajitambua na kutunza siri basi katoto kameshusha pressure yote niliyokuwa nayo sasa hivi hata shemeji na wifi yenu akiamua kulala hukohuko kazini sina tena kihoro na wivu kama mwanzo. Hata akiniiaga wanatoka wanaenda semina watatumia mwezi mzima basi naona kama aongeze na mwezi mwingine.
Kimsingi mchepuko umenitoa jalalani na kuniheshimisha, badala yake naona mapenzi kwa shemeji na wifi yenu sasa hivi yameongezeka kupita kiasi. Anawahi kurudi kazini, semina zikitokea hataki kwenda na kila nikitaka kutoka mfano weekend anataka tutoke wote.
Jamani michepuko/nyumba ndogo zinasaidia sana kuboresha ndoa. Tafuteni nyumba ndogo zinazojielewa ili ndoa zenu zidumu.
Msije kusema sijawastua.
Usiusemee moyo wng.Ni kujipa moyo tu, wivu utabaki palepale
Upo gizani mkuuHiyo ni njia potofu ya mkato ya ku solve shida zako za ndoa, hatima yake sio nzuri. Unamaanisha Mungu kusema "USIZINI" ni mjinga eee, hana akili,hana anachojua eeh.
Shetani huwa ana ofer shortcut zinazoonekana kuwa ni nzuri ila mbele yake kuna uharibifu mkubwa.
Umechelewa sana kugundua ilo.Mwanzo wakati sina mpango wa kando nilikuwa napata shida sana ku-handle ndoa yangu na ukizingatia shemeji yenu ni mfanyakazi basi muda wote nilikuwa na kihoro cha kuchapiwa na kuhisi siheshimiki kama baba.
Nilikuwa naona nafasi yangu ni finyu sana na pia wivu uliopitiliza ulitamalaki moyoni mwangu. Akichelewa kurudi kazini kama mimi nimewahi kurudi kutoka kwenye mishe zangu basi nilihisi wajuba wa kazini wanakula tunda la upendo la my wife wangu. Hakika niliteseka sana.
Sasa niliamua kujilipua na kupata katoto ka 2000 ambacho kanajitambua na kutunza siri basi katoto kameshusha pressure yote niliyokuwa nayo sasa hivi hata shemeji na wifi yenu akiamua kulala hukohuko kazini sina tena kihoro na wivu kama mwanzo. Hata akiniiaga wanatoka wanaenda semina watatumia mwezi mzima basi naona kama aongeze na mwezi mwingine.
Kimsingi mchepuko umenitoa jalalani na kuniheshimisha, badala yake naona mapenzi kwa shemeji na wifi yenu sasa hivi yameongezeka kupita kiasi. Anawahi kurudi kazini, semina zikitokea hataki kwenda na kila nikitaka kutoka mfano weekend anataka tutoke wote.
Jamani michepuko/nyumba ndogo zinasaidia sana kuboresha ndoa. Tafuteni nyumba ndogo zinazojielewa ili ndoa zenu zidumu.
Msije kusema sijawastua.
Kweli kitombileUmechelewa sana kugundua ilo.
Kashahisi kuwa unachepuka sababu ya kutokujiamini kwako mchepuko anakuheshimishaje kuliko mke huoni kama umekua mwendawazimuMwanzo wakati sina mpango wa kando nilikuwa napata shida sana ku-handle ndoa yangu na ukizingatia shemeji yenu ni mfanyakazi basi muda wote nilikuwa na kihoro cha kuchapiwa na kuhisi siheshimiki kama baba.
Nilikuwa naona nafasi yangu ni finyu sana na pia wivu uliopitiliza ulitamalaki moyoni mwangu. Akichelewa kurudi kazini kama mimi nimewahi kurudi kutoka kwenye mishe zangu basi nilihisi wajuba wa kazini wanakula tunda la upendo la my wife wangu. Hakika niliteseka sana.
Sasa niliamua kujilipua na kupata katoto ka 2000 ambacho kanajitambua na kutunza siri basi katoto kameshusha pressure yote niliyokuwa nayo sasa hivi hata shemeji na wifi yenu akiamua kulala hukohuko kazini sina tena kihoro na wivu kama mwanzo. Hata akiniiaga wanatoka wanaenda semina watatumia mwezi mzima basi naona kama aongeze na mwezi mwingine.
Kimsingi mchepuko umenitoa jalalani na kuniheshimisha, badala yake naona mapenzi kwa shemeji na wifi yenu sasa hivi yameongezeka kupita kiasi. Anawahi kurudi kazini, semina zikitokea hataki kwenda na kila nikitaka kutoka mfano weekend anataka tutoke wote.
Jamani michepuko/nyumba ndogo zinasaidia sana kuboresha ndoa. Tafuteni nyumba ndogo zinazojielewa ili ndoa zenu zidumu.
Msije kusema sijawastua.
Atatakiwa kuongeza third laneWakishakuchapia huyo mchepuko basi utarudi mle mlee kwenye kuwa na wasiwasi!
Jifunze kujiamini wewe kama wewe kwa amani yako