Tangu niwe na nyumba ndogo (mchepuko), ndoa yangu ina amani sasa

Amani lazima ipatikane mkuu mkeo nae ana mchepuko wake lijue hilo.
 
Kama umenielewa mkuu ni kwamba kwa ss presure haipo tena, zile hisia kwamba labda kuna wahuni wanajupigia sio shida zangu tena tangu nikipate katoto ka 2000. So hayo mengine atajua yeye aliwe au asiliwe shauri yake.

Hapo utakuwa na furaha milele, sasa swali: Wanawake hawatumiagi Condom wakati wanaliwa, kwanini usi Man up ukamuacha kabisa?
 
Huo mkeka wako karibu UTACHANIKA!
 
Mke alosoma na akawa na kazi ambayo ni kama anaweza kujihudumia vingi peke yake, aisee ni changamoto sana. Hata kama sio malaya.

Yaani ukiowa hawa sahau kabisa kuhusu Mapenz yadhati au kujaliwa au familia imara.

Hata watoto malezi watayapata kwa dada wa kazi.

Na ole wako awe ni pisi kidogo aisee ni kama umeamua kununua presha kukaa nayo. Alafu ubaya wao huwa huko kazini wanapanda vyeo hovyo hovyo( mabosi hugawa vyeo kwa wanawake sana)

Sasa akishaanza toka na wanaume wana hela zaidi yako hata kama nawe unazo ila alokuzidi asieee sahau kuhusu familia. Na kiburi anacho kwani anayo kazi na ukitaka vunja ndoa anajua pasu kwa pasu ina muhusu. So utakuta uko nae tuu ndani kama pambo ila nyege zako au huruma au upendo unaenda pata kwa Mwajuma, halima , fatuma( michepuko wanao jua kutunza).
 
Teh teh teh 😃 😃 😃 kazi kweli kweli
 
Hapo utakuwa na furaha milele, sasa swali: Wanawake hawatumiagi Condom wakati wanaliwa, kwanini usi Man up ukamuacha kabisa?
Siwezi kumuacha mke wa ndoa na amenizalia watoto 2, pia ukisoma vizuri hapo juu ameanza kunyooka na amerudisha mapenzi kwa kasi ya ajabu bahati mbaya kwake ni kitoto cha.2000 kipo fire balaa.
 
'Aziniye na mwanamke hana akili kabisa'
 
Wanawake wa siku hizi ukimwaga mboga anamwaga ugali. Tena huyo wa ofisini ndio kabisa ujiandae na matukio. Ipo siku utakamatwa tu za mwizi arobaini
 
Sanamu lako Nachangia Billion 10 za Nyatti cement. Binafsi bila michepuke Shemeji yenu angelikua ashanipiga chinii,maana nikikosaga michepuko Wivu unakua mara mia9. Hivyo michepuko hunisaidia kuregurate Wivu maana nikimwangalia wife nimetoka kupiga Asha basi hata kama wife ameliwa fresh namimi nimemla Asha...Koo GG.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…