macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Kumbe unakubali ilikuwa ni waves siyo? Na Bongo wave ya kwanza si ilikuwa 2020 na ya pili 2021? Kwani hujui hata siku hizi kuna movements za watu tena kubwa kuliko kipindi hicho? Mbona unakubali na kukana?Mkuu kumbuka hizo waves za Spanish flu zilikuwepo 1918 -1920 kipindi cha kukaribia miaka mitatu. Hata Corona miaka hijayo inaweza kurudi tena na kuwa “wave”. Na wataalamu watatupa sababu za kuwa na wave nyingine. Mafano Spanish flu 2nd wave inasemekana ilitokana na movement za wanajeshi!