Tangu Rais Dkt. Magufuli afariki, hakuna Habari za vifo vya Corona

Toka Magufuli hatutoke ni muda sasa! Mjane mpaka sasa hivi anatibiwa bado unadai ni Covid aliyoambukizwa na Magufuli?
Swali lako halieleweki, labda hukuunganisha mtililiko wa mjadala
 
Lilitumikaje? Mie wazazi wangu waliugua na waliponea ICU!! So tukubaliane corona ipo

Hoja hapa ni kwanini media haitangazi tena... Jibu ni kwamba walikuwa wanatangaza ili kumpa presha alichukulie hatua

Ila kuhusu corona kuwepo na kuua hilo halina ubishi unless ulikua hutembelei muhimbili February
I am a victim of covid, anayesema ujinga kuwa hakuna asubiri tu maana hata young age inaanza kuwa infected with hospitalisation with severe form
 
SOMA POST #1

wacha kusoma habari za kutunga hizo ambazo hazina hata picha ya kuzisapoti. Je yeye alipitia uwanja gani kwenda na kurudi kutoka nairobi akiwa kwenye kife support, uwanja wa Dar es Salaama au uwanja wa Chato? Yaani na wewe unakubali apitishwe Dar es salaama airport akiwa kwenye life support watu wasijue? Hao Daily Nation walikuwa wanarudia habari za kutunga zilizokuwa zinatolewa za Lissu tu.
 
Mafua uchukua muda mfupi sana kuwepo kwenye jamii, ila hata Nzengo zimepungua sana mtaani au labda korona imeogopa chanjo
 
Njia moja ni suala la kutangulia tu, unahisi utaandika upuuzi wako hapa jf milele.

Ume fuatilia kujua mwendelezo wa mabandiko au ni kudandia dandia mabandiko ya watu tu kama vile umekurupushwa tokea chooni.

Ulivyo mpuuzi unadhani kuna anaye kiogopa kifo.

Kuna tofauti baina ya kuchukua tahadhari za msingi ikibidi ufe kesho badala ya kuzembea na matokeo yake ukafa jana mburula wewe!
 
Lilitumikaje? Mie wazazi wangu waliugua na waliponea ICU!! So tukubaliane corona ipo

Hoja hapa ni kwanini media haitangazi tena... Jibu ni kwamba walikuwa wanatangaza ili kumpa presha alichukulie hatua

Ila kuhusu corona kuwepo na kuua hilo halina ubishi unless ulikua hutembelei muhimbili February

mama amechukua hatua gani mwezi sasa!!!!

unajua tatizo letu ni unafiki,kuliko tatizo lenyewe.
mapadre bado wanakufa kufa,na hatusikii matamko.

ujinga ujinga tu.
 
I am a victim of covid, anayesema ujinga kuwa hakuna asubiri tu maana hata young age inaanza kuwa infected with hospitalisation with severe form

kwani unadhani kuna mtu kakataa kwamba haishambulii vijana!!!

ishu hapa una kinga ya namna gani!! ndio maana tunakwambia inawezekana kila mtu kashakumbana na huu ugonjwa.
 
wacha kusoma habari za kutunga hizo ambazo hazina hata picha ya kuzisapoti. Je yeye alipitia uwanja gani kwenda na kurudi kutoka nairobi akiwa kwenye kife support, uwanja wa Dar es Salaama au uwanja wa Chato? Yaani na wewe unakubali apitishwe Dar es salaama airport akiwa kwenye life support watu wasijue? Hao Daily Nation walikuwa wanarudia habari za kutunga zilizokuwa zinatolewa za Lissu tu.
Kwani ''classmate'' wako anasemaje? Si tulikubaliana alikua kwenye maombi ya mfungo!!

Hahahahahaha
 
mama amechukua hatua gani mwezi sasa!!!!

unajua tatizo letu ni unafiki,kuliko tatizo lenyewe.
mapadre bado wanakufa kufa,na hatusikii matamko.

ujinga ujinga tu.
Kaunda kamati si utulie majibu ya kamati ndio maamuzi yatachukuliwa.

Yule mwingine alitoa maelekezo yake bila kuwa na taarifa sahihi... Anasimama jukwaani anadai Corona hamna ilihali wazazi wangu almanusura iwaondoe na uzee wao ule!!

Kubalini tu JPM alifeli kwenye kuhandle Covid tumekua kituko dunia nzima.... Pitia Reddit kule uone kejeli tumetetea sana mpaka tumezidiwa!!
 
Kuna watu wa karibu kuliko mke wake?
Na jana hukumsikia mwanae akisema mama yao anaumwa alipata mshtuko wa msiba wa mmewe kwa hiyo wewe unaamini hivyo? ndio anarecover from COVID 19 ule ugonjwa unatoka taratibu sana
 
Kaunda kamati si utulie majibu ya kamati ndio maamuzi yatachukuliwa.

Yule mwingine alitoa maelekezo yake bila kuwa na taarifa sahihi... Anasimama jukwaani anadai Corona hamna ilihali wazazi wangu almanusura iwaondoe na uzee wao ule!!

Kubalini tu JPM alifeli kwenye kuhandle Covid tumekua kituko dunia nzima.... Pitia Reddit kule uone kejeli tumetetea sana mpaka tumezidiwa!!
Pole sana kwa wazazi. Mungu azidi kuwatunza wanaongea hawajui watu walipitia hali gani. Ila Mungu ni Mungu tuu
 
Covid ni ugonjwa wa kuambukizana kwa hewa. Wataalamu wanasema kuwa mgonjwa akiwa na wewe kwa karibu zaidi ya futi sita bila kinga basi utaambukizwa. Mke wake alikuwa karibu naye chini ya hizo futi sita kwa muda mrefu sana bila kinga yoyote hivyo na yeye angeambukizwa!
Na ndio anarecover now jana hukumsikia kijana wake akisema mama yao mgonjwa?
 
You never know,may be god has decided to exchange his life for ours,

Yeye magu fool was always saying that amejitoa maisha yake muhanga KWA ajili yetu watz maskin na wanyonge,so may be god kaamua kuiondoa corona tanzania KWA gharama ya kumchukua magu fool Ili akawaongoze malaika kama yeye mwenyew alivyokuwa akitaman,sounds good??....

[emoji23][emoji23]daaah
 
wacha kusoma habari za kutunga hizo ambazo hazina hata picha ya kuzisapoti. Je yeye alipitia uwanja gani kwenda na kurudi kutoka nairobi akiwa kwenye kife support, uwanja wa Dar es Salaama au uwanja wa Chato? Yaani na wewe unakubali apitishwe Dar es salaama airport akiwa kwenye life support watu wasijue? Hao Daily Nation walikuwa wanarudia habari za kutunga zilizokuwa zinatolewa za Lissu tu.
Uwanja wa Dar unaujua? Kwa taarifa yako kuna sehemu ya jeshi, Airwing, na kiongozi anaweza kupitia kule na isijulikane kabisa. BTW hizi habari za Daily Nation zime-support nilichoambiwa na mtu wa uhakika kabisa. Siko hapa kukuaminisha ninachosema ila niko hapa kusema ukweli. Kama wewe unaona ni habari za kutunga una uhuru wa kuamini hivyo. BTW siyo wewe uliyesema haumwi bali amefunga kipindi cha Kwaresma?? 😎 🤣. Ok, yaishe na baki na ''ukweli wako.
 
Subiri tena mwakani ndio tutajua kama unayosema ni kweli.
 
Back
Top Bottom