macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Kumbe unakubali ilikuwa ni waves siyo? Na Bongo wave ya kwanza si ilikuwa 2020 na ya pili 2021? Kwani hujui hata siku hizi kuna movements za watu tena kubwa kuliko kipindi hicho? Mbona unakubali na kukana?Mkuu kumbuka hizo waves za Spanish flu zilikuwepo 1918 -1920 kipindi cha kukaribia miaka mitatu. Hata Corona miaka hijayo inaweza kurudi tena na kuwa “wave”. Na wataalamu watatupa sababu za kuwa na wave nyingine. Mafano Spanish flu 2nd wave inasemekana ilitokana na movement za wanajeshi!
Unabishana na nyumbu watakuelewa? Wao ni mpaka waone mtu wao wa karibu amekufa kwa corona ndiyo watakubali ipo. Tatizo ni elimu yetu. Watu wanakariri na kumaliza bila kuelimika. Halafu asilimia kubwa ya wanaobisha hapa vyombo vya habari na vitabu wanavyosoma ni Ayo TV, Uwazi na vitabu vya Shigongo and the likes. Hawa hawana uwezo wa ku-absorb vitu vilivyoandikwa na vyombo au vitabu vyenye viwango.Lilitumikaje? Mie wazazi wangu waliugua na waliponea ICU!! So tukubaliane corona ipo
Hoja hapa ni kwanini media haitangazi tena... Jibu ni kwamba walikuwa wanatangaza ili kumpa presha alichukulie hatua
Ila kuhusu corona kuwepo na kuua hilo halina ubishi unless ulikua hutembelei muhimbili February
Una kiwiliwili kichwa hufahamu unekiweka wapi kichwa,yaani tuombe nguo kwa hao wapuuzi ambao wapo uchi,ndio maana kila unacho ambiwa hukichambui,si shangai kwa unacho kiamini najua sio ww,ushauziwa chai na wanao jiita wanaharakati.Kwani nyumbu huwa wanatafakari?
Wee jamaa kila mada unakisingizio cha kutochangia!
Nimeulizaje? Nyumbu huwa ana uwezo wa kutafakari?Una kiwiliwili kichwa hufahamu unekiweka wapi kichwa,yaani tuombe nguo kwa hao wapuuzi ambao wapo uchi,ndio maana kila unacho ambiwa hukichambui,si shangai kwa unacho kiamini najua sio ww,ushauziwa chai na wanao jiita wanaharakati.
Endelea kuwauzia chai kama wewe ulivyo uziwa.Nimeulizaje? Nyumbu huwa ana uwezo wa kutafakari?
wewe hujaelewa kituDuu mtazamo huu ni very negative into combating this COVID 19. Nakumbuka Rais aliwaeleza viongozi wa dini waase waumini wao juu ya kujikinga na COVID 19 jana tu. Sasa mtoa mada anukuja ha hoja yake kuwa imeisha au imepungua kabisa, waliokuwa wanazungumzia COVID 19 ni kumkwamisha Mwendazake. Hii sii sahihi. Tunatakiwa tupime na kutoa takwimu zinazoeleweka badala ya kuficha ugonjwa.
Nyumbu ana uwezo wa kutafakari?Endelea kuwauzia chai kama wewe ulivyo uziwa.
Wauzie chai.Nyumbu ana uwezo wa kutafakari?
Nyumbu na wewe ni nani mwenye kutafakari?Wauzie chai.
Mr zungu siyo magu fool !!You never know,may be god has decided to exchange his life for ours,
Yeye magu fool was always saying that amejitoa maisha yake muhanga KWA ajili yetu watz maskin na wanyonge,so may be god kaamua kuiondoa corona tanzania KWA gharama ya kumchukua magu fool Ili akawaongoze malaika kama yeye mwenyew alivyokuwa akitaman,sounds good??....