Tangu Rais Dkt. Magufuli afariki, hakuna Habari za vifo vya Corona

Hebu jaribu kutumia hata uwezo wa 0.0007%ya ubongo wako, ulionao kwani najua %nyingine haipo, kwani kipindi kile akiwa hai , hali hii haikutokea?huko ulaya/marekani muda wote vifo vinakuwa vile vile, unaposikia wimbi la kwanza, la pili , la tatu la covid19, unaelewa nini??ngoja uone Mama anakoelekea kwenye mbinu za kisayansi tu, siku hizi hata wale waganga wa kienyeji huwasikii tena, yaani waliifanya TBC, kama ndio kilinge chao, wataalam wa afya wakawa hawajulikani!!daaa ila kama taifa tulikokuwa tunaelekea, ...MUNGU FUNDI
 
Walikuwa wanatangaza ili kupata attention ya Rais alishughulikie vyema ila kwa kuwa mama samia kashaonyesha kulipa kipaumbele hakuna haja ya kupile taarifa wakati tayari ameapa kufanyia kazi.

Hiyo ndio nguvu ya media inaweza swing ajenda ili kuiweka kwenye limelight
 
Yeye mwenyewe ndio alikuwa kovidi

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
wewe unaetumia 110% ya ubongo

tuambie kwanini baada ya kifo cha magufuli zile taarifa za vifo hazisikiki tena?
 
Mtu alikua na matatizo makubwa tu ajabu nae anajiweka mbele ya watu waliokua wazima kiafya na kuhamasisha wasivae barakoa..

Ni mtu huyu huyu ambaye nchi ilipoteza pesa kumgharamia asome Sayansi halafu bado leo hii anakuja kuikana sayansi kwa nadharia za ajabu ajabu...

Kuna nyakati nasema pale serikali ilipoteza pesa kumsomesha sayansi bora angeeenda kusoma kupiga marimba Pale UDSM au wangempeleka Kaole
 
kutangaza kuipa kipaumbele ndio kinga dhidi ya corona?
 
Uzi wangu wa tar 18 Machi 2020 ulijibu swali lako kwa uzuri zaidi.
Sema tu jf is not independent forum.
Kwa ufupi Mungu aliniambia kuwa COVID aliiruhusu nchini kama kisasi na mara baada ya kifo cha Magufuli COVID is no more in Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…