Tangu Rais Dkt. Magufuli afariki, hakuna Habari za vifo vya Corona

Tangu Rais Dkt. Magufuli afariki, hakuna Habari za vifo vya Corona

Hakufia Kenya. Alirudishwa akiwa kwenye coma baada ya madokta wa Kenya kusema hakuna cha kufanya zaidi kumuokoa.
Kumbe unajua kuwa alirudishwa kwenye koma - yaani akiwa hajitambui - na hivyo hayo mambo yaliyotokea pale mzena baina ya familia yake na viongozi wa dini hayakutokea! Je unaweza kutusaidia kujua alipelekwa Kenya tarehe ngapi, na kurudishwa tarehe ngapi kusudi tuunganishea timeline ya kuugua hadi kifo chake.
 
Habari Jf, nilikuwa nimepigwa benchi na mod mmoja hivi pasi na sababu zenye mashiko thanks God nimerejea imara na kasi ya 5G

Itakumbukwa siku za mwishoni za kuishi za mpendwa wetu, shujaa wa afrika na mzee wa kuacha alama (legacy) katika kila alilokuwa anafanya hapa nchini watu wengi sana waliibuka kumpinga vikali juu ya uwepo wa second version ya covid 19 hapa nchini na duniani kote

Tanzia nyingi ziliripotiwa kila uchwao, hali hii ilianza kumshake hayati lakini kwa ushujaa wake alisimama imara, akapinga wazi uwepo wa hali mbaya ya uwepo wa athari za corona japo alikiri kuwa ipo

Tangu hayati magufuli kufariki mwezi mmoja sasa hakuna kelele tena za tanzia wala tishio dhidi ya ugonjwa huu, wanaharakati wa mitandaoni nao kimya, wapinzani waliojifanya kuwapenda watanzania kupita kiasi nao ni vivyohivyo wameufyata

Je, kelele zile kwa mheshimiwa hayati magufuli kuhusu corona zilikuwa ni mbinu za kumdhoofisha rais wetu dhidi ya covid 19?
Nini kimebadilisha hali ile ilhali nchi haijachukua hatua yoyote na zile taarifa za tanzia hakuna tena

nini kimebarika sasa hatusikii kujaa kwa wagonjwa wa covid 19 hospitalini?

Nini kimebadilika sasa Dodoma haisikiki tena kwamba ndio ilikuwa na maambuzi zaidi ya corona?
Umetumia kipimo gani kuwa hakuna vifo vitokanavyo na covid?
 
Ajieleze mzushi brazaj maana alishadidia ajabu

Tunasubiria taarifa ya tume ya wataalamu wabobezi ya mama Samia.

Hii ndiyo njia sahihi itakayo tuvusha. Makelele ya nini?

Laiti, nwendazake angetusikiliza si ajabu gonjwa hili wala lisingemsambaratisha.
 
Unajuaje kuwa hakuna corona, umepima wangapi?
Apime na mashine gani wakati jiwe alituambia kuwa mashine zile ni feki hadi akamfukuza yule mama mkurugenzi wa maabara?
 
Kawaulize maaskofu waliotutangazia kuwa wamefiwa na mapadri zaidi ya 25 na watawa zaidi takriban 60, Je nao walikuwa kwenye mpango wa kummaliza au la

Tuna bahati wadau waliibuka kwa kasi kumpinga approach yake ya kutofanya lolote. Kitendo cha wadau hao hasa Makanisa makubwa kuwataka watu waanze kunawa tena mikono na kujilinda ilisaidia sana, Tungeendelea vilevile bora liende hali ingeweza kuwa mbaya zaidi
Hawa watu wanao shindana na maelezo ya wataalam ndiyo wanataka kuliingiza taifa kwenye janga zaidi.
 
Tunasubiria taarifa ya tume ya wataalamu wabobezi ya mama Samia.

Hii ndiyo njia sahihi itakayo tuvusha. Makelele ya nini?

Laiti, nwendazake angetusikiliza si ajabu gonjwa hili wala lisingemsambaratisha.
Naona ulifurahii adui wenu kufa
 
Back
Top Bottom