Tangu Rais Dkt. Magufuli afariki, hakuna Habari za vifo vya Corona

Tangu Rais Dkt. Magufuli afariki, hakuna Habari za vifo vya Corona

Covid ni ugonjwa wa kuambukizana kwa hewa. Wataalamu wanasema kuwa mgonjwa akiwa na wewe kwa karibu zaidi ya futi sita bila kinga basi utaambukizwa. Mke wake alikuwa karibu naye chini ya hizo futi sita kwa muda mrefu sana bila kinga yoyote hivyo na yeye angeambukizwa!
Inawezekana aliambukizwa lakini hakuugua. Hii hutokea sana. Najua jamaa watatu ambao walifariki kwa corona na wake zao hawakuugua hata mafua ya kusingizia. Hili siyo jambo geni hata kidogo. Ndiyo moja ya maajabu ya huu ugonjwa. Jingine: nyumba za watu ni usku wa giza. Unaweza kukuta mke na mume wanaishi nyumba moja lakini hawako karibu hata kidogo. Haya kulala wanalala sehemu tofauti. Lakini huu mfano wa wanaume waliofariki kwa covid na wake zao wakabaki salama bila kuonyesha dalili zozote upo sehemu nyingi tu.
 
Kumbe unajua kuwa alirudishwa kwenye koma - yaani akiwa hajitambui - na hivyo hayo mambo yaliyotokea pale mzena baina ya familia yake na viongozi wa dini hayakutokea! Je unaweza kutusaidia kujua alipelekwa Kenya tarehe ngapi, na kurudishwa tarehe ngapi kusudi tuunganishea timeline ya kuugua hadi kifo chake.
Alifariki tarehe 12.03 nasiyo 17 kama ilivyotangazwa. Jaribu kupeleleza tu kama una watu unawajua wa ngazi za juu serikalini. Haya niliambiwa na mtu wa uhakika kabisa. Hata gazeti la Daily Nation la Kenya lilielezea vizuri tu.
 
SOMA POST #1

wewe wacha kudanganywa kama toddlers
17.3.2021 chuma kiliumaliza mwendo
 
Dunia hii tunadanganywa sana. Usiamini maneno ya wanasiasa na vibaraka wa mabeberu. Africa Corona ni conspiration theory .ni nadharia. Ni mpango wa kufufua uchumi wa ulaya na US Na mpango kushusha uchumi wa Afrika. JPM Alikuwa tishio kwa biashara za wakuu wa dunia
 
Tanzania hatuna corona tuna ka ugonjwa kadogo tu kanaitwa changamoto ya upumuaji![emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naona ulifurahii adui wenu kufa

Maadui zake wakubwa ni hawa hapa:

IMG_20210418_164416_802.jpg

Na wewe umo humo.

Mlifanya nini hata kumuasa tu? Mliomletea majani ya nyungu ndiyo wavaa barakoa.

Haiyumkiniki mna furaha sana.
 
Covid ni ugonjwa wa kuambukizana kwa hewa. Wataalamu wanasema kuwa mgonjwa akiwa na wewe kwa karibu zaidi ya futi sita bila kinga basi utaambukizwa. Mke wake alikuwa karibu naye chini ya hizo futi sita kwa muda mrefu sana bila kinga yoyote hivyo na yeye angeambukizwa!
ndio anaeza kuwa aliambukizwa akapona, au kwani kila anayeambukizwa anapona?
 
Ndio ujue Corona ilikuwa imetarget wapi...imeisha na maisha yanaendelea bila dhuruma na utekaji
 
Back
Top Bottom