Habari JF,
Itakumbukwa siku za mwishoni za kuishi za mpendwa wetu, shujaa wa Afrika na mzee wa kuacha alama (legacy) katika kila alilokuwa anafanya hapa nchini watu wengi sana waliibuka kumpinga vikali juu ya uwepo wa second version ya covid 19 hapa nchini na duniani kote
Tanzia nyingi ziliripotiwa kila uchwao, hali hii ilianza kumshake hayati lakini kwa ushujaa wake alisimama imara, akapinga wazi uwepo wa hali mbaya ya uwepo wa athari za corona japo alikiri kuwa ipo
Tangu hayati magufuli kufariki mwezi mmoja sasa hakuna kelele tena za tanzia wala tishio dhidi ya ugonjwa huu, wanaharakati wa mitandaoni nao kimya, wapinzani waliojifanya kuwapenda watanzania kupita kiasi nao ni vivyohivyo wameufyata
Je, kelele zile kwa mheshimiwa hayati magufuli kuhusu corona zilikuwa ni mbinu za kumdhoofisha rais wetu dhidi ya covid 19?
Nini kimebadilisha hali ile ilhali nchi haijachukua hatua yoyote na zile taarifa za tanzia hakuna tena
nini kimebarika sasa hatusikii kujaa kwa wagonjwa wa covid 19 hospitalini?
Nini kimebadilika sasa Dodoma haisikiki tena kwamba ndio ilikuwa na maambuzi zaidi ya corona?
Duniani akuna ugonjwa unao itwa covid 19 corona aipo Bali ni propaganda za awa wanao jifanya mapingwa wa duniani iyi
Mimi na ishi canada
Mwaka 2020 nili taka kusafiri nika ambiwa akuna kusafiri bila test ya covid
Nika ambiwa ni ende kupimwa nika enda kufanya test
Nika ambiwa niko positive
Nika ambiwa baada ya siku kazaa uta anza kusikia dalili nenda ukae ndani siku 14 cha ajabu nili kaa umo siku 14 bila kusikia dalili yeyote ya covid 19 nika baki na jiuliza maswali mengi ivi iyi ndo covid au bado ina kuja
Nika rudi hospitalini kufanyiwa test ya pili waka ni ambia covid yako ime isha
Nika jiuliza ivi ni ugonjwa gani ambao una malizika duniani bila mtu kutumia Dawa
Maswali yote niliyo jiuliza siku pata majibu nika ona potelea mbali
Nika safiri
Nika rudi kutoka safarini nika taka kuanza kazi
Mimi na wadogo zangu tuka enda kupimwa mimi na mdogo wangu wa pili tuka ambiwa tuna corona
Eti tukae ndani 14 waka tujaza hofu pale tuka kaa cha ajabu tena ndani ya izo siku 14 tuli kaa ndani atukuona dalili yeyote juu ya corona
Tuka rudi kupimwa mara ya pili mimi nika ambiwa nime pona mdogo wangu yeye bado ana corona ahija Malizika
Ili kaa ndani siku 14 bila chochote aka rudi waka mwambia amepona
Sasa maswali yangu juu ya corona
Uwaga na jiuliza sipatagi majibu
Nikaja kukumbuka tena
2017 kipindi ambacho tuli fika canada sisi vijana wote ambao tuli kuwa zaidi ya miaka 18 tuli ambiwa tuna ugonjwa wa hepatite B wote ambao tuli kuja nao
Mimi nili anza kusikia ugonjwa uo kwa rafiki yangu ali kuwa mnyonge saana aka ni ambia rafiki yangu mimi nataka kuwa acha duniani ndugu nina ugonjwa makali saana aka ni ambia hepatite B mimi nili kuwa si ujuwi nika mpa pole siku nyingine nika itwa mimi
Nika enda kupimwa nika nika ambiwa nina ugonjwa uho uo
Mimi nili lia saana mpaka nili tunga wimbo eti nikifa
Rafiki yangu wa tatu naye ali pimwa ivo ivo apo ndipo nika anza kujiuliza maswali juu ya uo ugonjwa siku rizika na majibu yao nili amuwa kurudi hospital kuliza juu ya ugonjwa uhu cha Ajabu waka ni ambia ugonjwa uhu upo saana barani afrika zaidi saana Tanzania
Nika uliza dalili zake nika ona sija wai sikia dalili izo
Nika uliza marafiki zangu juu ya dalili kama wamesha wai kusikia waka sema apana
Ivo wali kuwa wamesha pewa apwenti menti ya kwenda kuonana na docter bingwa wa magonjwa aya
Marafiki zangu waka kubali mimi nika pinga sito enda
Waka ni ambia una kataa kwenda kuonana na docta ukweli wata kufungia kwenda kupimwa au kwenda hospitalini nika kataa nika amini kitu ambacho wana ita bora kufia ukweli kuliko kusimamia uongo
Ndo nataka kusema wasio juwa wanzungu ndo awa ambao wali kuwa wana mpinga magufuli ata iyi covid akuna apa