Tangu Soka lianze hadi leo hii, Kuna Mchezaji yeyote aliyefikia kiwango cha Maradona au Messi?

Tangu Soka lianze hadi leo hii, Kuna Mchezaji yeyote aliyefikia kiwango cha Maradona au Messi?

Kama hukuwahi kumuona 'Garrincha' tafuta video zake, aliichezea real madrid kwa muda mrefu sana. Kama hukumuona Gaucho pia tafuta highlights zake. Isitoshe mpira wa kipindi hicho ulikua una ladha na watu wanafunga ktk mazingira magumu kuliko sasa hivyo ilikua inanogesha zaidi. Mf; ni goli la mkono la Maradona. Sasa iv sheria ni nyingi, kuna video(reviews), referees hadi nyuma ya goli, mpira ukigusa chaki kuna 'sensor' golini. Messi wa kawaida sana, kwa mawazo yangu hajafika hata kiwango cha Okocha, Lkn tusitumie nguvu nyingi kukuaminisha usichokifahamu pengine huwajui watu hao!!!
Garrincha ndo baba wa chenga zote kuanzia za maudhi na nyinginezo, anavyovifanya Messi na Maradon asilimia kubwa vimetoka kwake. Jamaa yule aliyekuwa na dharau kiasi cha kutembea na mpira na si kukimbiza na bado hakuna aliyechukua, kuja kumfananisha na waargentina ni matusi makubwa.

Mchezaji ambaye mguu mmoja mrefu na mwingine mfupi, na bado alisumbua. Yule mtu hakuvuma kwakuwa kulikuwa na Pele kikosi cha Brazil ila ni hatari kimpira, hao wamemzidi kufunga tu
 
dunia nzima ipi?? sema msiofuatilia historia au watoto wa juzi ndio watasema messi is the best ever ila wanaojua mpira hawawezi support uongo huo nishasema messi ni bora kwa wakati wake yaani 2007-2017 hilo halina mjadala ila kusema all time ni uongo hivi messi anamuweza just fontaine??? embu tuweni serious kidogo kma umefutilia classic football 1950-90 niambie messi anamfikia nani kati ya hawa
1.pele
2.maradona
3.ferenc puscas
4. garrincha
5.zico
6. kocsis
7. telmo zarra
8 tostao
9 grzegorsz lato
10 Didi

be honest anamfikia nani hapo??? kma hujawahi hta kuwasikia basi ujue una haki ya kumsifi messi

huyo puskas kwangu ndio best ever yaani mechi 520 goli 520 ukizingatia akiwa na umri kma 26 alistaafu soka akarudi baada ya miaka 6 na akawa bado katika ubora wake hivi je angecheza hyo miaka 6 ingekuwaje sahivi?????

kuna kipa wao hungary anaitwa hidegkuti kma sijakosea mwaka 1954 ujerumani alikuwa anacheza zaidi ya namba 6 kwa mpigo yaani kuna mechi walizidiwa ikabidi aingie kama beki na akamudu bado akacheza kma mshambuliaji na akamudu then ndio mseme messi???

hayo ni matusi saa kwenye ulimwengu wa soka
hao Wahenga wako hawamuwezi messi
 
hao Wahenga wako hawamuwezi messi
Haaahaaaa kwa vigezo gani mkuu??? Huyo puskas mechi zote alizoanza kafunga yaani zote.... Ukizingatia enzi zake hakuna red card wala substitution 3 kma cku hizi wala hakuna penalti za vaada ya dakka 90 hivyo walikua wanatumika sana acha tu sio hawa kina messi wamekuja kipindi mpira umerahisishwa sana hivyo kwa mazingira ya kipindi kile hao magwiji walijituma sana tofauti na cku hzi wachezaji wawili tu wanatawala mpira
 
Messi amesababisha magonjwa mengi kuongezeka mitaani kwetu. Huyo ndiye The lion Messi asiefananishwa na vitu vya kijinga 😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom