Tangu tukiwa wadogo Haji Manara wanawake hawakumpenda

Manara hana tabia njema wala pesa hana ndio maana havumiliwi.
Sasa wanaokewaje na jamaa hana hela ...hawa wanawake bure kabisa....so wanagegedwa bure 🀣🀣🀣🀣
 
Gubu na unyanyasaji, dhereu ndio shida yake
 
Au hizo drama ndizo zinampa ulaji?. Maana ukiona mtu kang'ang'ana na Jambo basi yamkini kuna Jambo nyuma yake!
 
Watoto wa primary mlikuwa mnatongoza na kula mademu???
Zamani ilikuwa ndio michongo.
.midada mikubwa kubwa ipo primary ziwa hili hapa kiuno dondola, kile kiharufu Cha kubalehe unakisikia.

Hapo ukijicheko wewe mdogo mdogo.

Mimi nimemqliza la saba na mabroo Wana ndevu kabjsa wanavyoa.
 
πŸ˜‚Sisi darasa letu mkubwa alikuwa na miaka 24, enzi hizo Za UPE na MEMKWA kulikuwa kuna Yale madarasa yanayotengwa kwa ajili ya walemavu wenye mtindi wa ubongo waliochelewa kuanza shule alafu na watu wazima, waliochelewa

Picha linaanza, kwenye kundi langu mimi Nina miaka 20,waliobaki above age🀣
 
Zamani ilikuwa ndio michongo.
.midada mikubwa kubwa ipo primary ziwa hili hapa kiuno dondola, kile kiharufu Cha kubalehe unakisikia.

Hapo ukijicheko wewe mdogo mdogo.

Mimi nimemqliza la saba na mabroo Wana ndevu kabjsa wanavyoa.
Kabisa yaani zamani kuanza la kwanza na miaka kumi kawaida sana
 
Naona mtashangaa kua hio ni kiki πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ maana majuzi niliona online kua akina Haji na mkewe wamekua nominated kwenye couple bora barani Afrika. Kingine ni kweli Haji ni mzaliwa wa Holland aka The Netherlands, alizaliwa huko wakati baba yake Sunday Manara akicheza mpira wa kulipwa kwenye timu ya Hercules ya Uholanzi kwahio lazima atakua na passport ya Uholanzi, ndio maana kuingia Europe anapeta tu tena kwenye nchi za Schengen anatereza tu.
 
Yes wanambagua jamaa sema umaarufu tu unamsaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…