Tangu tukiwa wadogo Haji Manara wanawake hawakumpenda

 
Kuhusu uwezo darasani hapana

Nakumbuka nimesoma shule aliyosoma Chomala sekondari….alikua vidato viwili mbele yangu.

Chimala sekondari ni shule ya jumuiya ya wazazi ya CCM ,huwa wanapelekwa vijana wa watu wa chama ambao waneshindikana kiakili,yaani kama wanaenda kukudump liwalo na liwe siku ziende.

Hakua na uwezo hata kidogo,hesabu alipata F….overall alipata division 4.
 
Jazba
 
If a woman told you that she had 'no feelings for you,' she was lying. Women don't have any feelings, they only care for money.
She left you because you were broke, not because of any non existent feelings.
Huyu mke wa said wa buswelu Mwanza aliyepigwa risasi saba, na misidi Koo 42 mbona alimuacha mme wake akaenda na ex wake aliyemuacha kisa hana hela , mbona Tena alimuacha said akaenda club na huyo asiye na hela.
Hapa inakuwaje chief, mbona bill gates, Jeff benzos, kaka, Elon musk akaachwa na mke , hapo inakuwaje please fafanua
 
Haji aachane na MAKINIKIA
 
Wakuu kuna mahala mnaukwepa ukweli. Pamoja na mapungufu yote aliyoyataja mtoa uzi ya brother Haji kujisifu sifu, ila kuna kosa lingine anafanya kwa kulirudia rudia, ANAOA MALAYA. Wanawake wote anaowaoa ni mapaka ya mjini yanamtumia kwa manufaa yanayojua yenyewe. Kwani nani hakujua kama hio ndoa haitachukua muda? Kwanini watu wajue hivyo? Kwa sababu ya mwanamke aliyemuoa plus hizo tabia za blaza hakuna ndoa. Ni sawa na yule mchezaji aliyetoa mahali ya mooo, ni swala la muda tu watu watakuja na nyuzi kumuhusu
 
Nimekaa Mahali napiga kisungura changu ,huku nikisubiria jibu la mwamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…