Tangu tupate Uhuru mwaka 1961 hatujawahi kuwa na madarasa ya Shule za Serikali ya aina hii

Huoni hata aibu kutaja hio figure mkuu ?

Walimu elfu 7 baada ya miaka mingapi..., (Hivi unajua tangu tupate uhuru kuna kipindi kila mwalimu mwenye cheti chake alikuwa darasani anafundisha) ? Au unadhani Madarasa ndio yanafundisha...
Kwa sasa outflow ya walimu kutoka vyuoni ni kubwa sana,

Serikali peke yake haiwezi kuwamudu wote
 
Kwa sasa outflow ya walimu kutoka vyuoni ni kubwa sana,

Serikali peke yake haiwezi kuwamudu wote
Jibu la ajabu sana hili Kipindi kile hata waliokuwa wanafundishwa walikuwa wachache..., Sasa hivi wanaohitaji kufundishwa ni wengi hivyo ratio ya sasa ni duni kuliko ratio ya kale....

Pili... naomba nikuulize hivi wingi wa watu ni rasilimali au ni hasara..., (kama ni rasilimali basi serikali imeshindwa kutumia vema rasilimali watu hio hence they are not fit for purpose)
 
Kwani walimu waliokuwepo wamekufa mkuu siwapo pia?
 
Kwani walimu waliokuwepo wamekufa mkuu siwapo pia?
population ina increase exponentially ndio maana mashule zaidi yamejengwa ilipokuwepo shule moja sasa hivi zipo kumi angalau tungesema kiwango cha waalimu kuajiriwa kimeremain constant ila hapa kimeshuka to almost zero..., sasa hapo utaona mathematically something is not right....
 
Sawa lakini walimu wazamani pia wapo,

Kwani Mwalimu mmoja anapashwa kufundisha wanafunzi wangapi?
 
Sawa lakini walimu wazamani pia wapo,

Kwani Mwalimu mmoja anapashwa kufundisha wanafunzi wangapi?
Student–teacher ratios vary widely among developed countries.[3] In primary education, the average student–teacher ratio among members of the Organisation for Economic Co-operation and Development (OECD) is just below 16, but ranges from 40 in Brazil to 28 in Mexico to 11 in Hungary and Luxembourg.[3]


Personally nadhani zaidi ya 50 ni ku-push it a little bit far...., pia mwalimu mmoja angalau awe na somo moja ikizidi sana matatu...,
 
Mkuu baadae nikitulia nitakujibu kwa kina hapa
 
Jenista ni motivation Speaker mzuri sana,
 
Usimamizi mzuri. Hapa amejitofautisha na watangulizi wake. Ndiyo Tanzania ya ndoto za kila mtu mpenda nchi yake
 
Usimamizi mzuri. Hapa amejitofautisha na watangulizi wake. Ndiyo Tanzania ya ndoto za kila mtu mpenda nchi yake
Mama anasimamia vizuri sana, Haki yake apewe,
 
Rais Samia atamaliza kila kitu mkuu, kuwa na amani kabisa,
Tunajengan mtu au tunajenga nchi ?

Kwa minajili hii tutaendelea kusubiri sana mpaka pale tutakapotegemea Taasisi na Mipango ya muda mrefu kama Taifa Huku tukiwa na Dira (Vision) ya wapi tunataka kwenda..., hili la kumtegemea mtu amalize / afanye kila kitu ni impossible na matumizi mabaya ya rasilimali watu
 
Mkuuu mi nimesoma ya kata na ni ghorofaaa na SSH alikuwa ajaingia madarakniiii
 

Acha upu... Kukopa ukajenga madarasa hakuna MTU anayeshindwa!! Ata wewe ungekuwepo ukapewa mkopo unajenga tuu.

Tuache kusifu kijinga,kazi muhimu ni kujenga uchumi,kuinua kilimo na ufugaji,kurekebisha mtaala wetu nk. hivyo havifanyiki tunasifu MTU kukopeshwa akajengajenga!!!

Mikopomikopo kilasiku alafu badala itumike kwenye miundombinu itayorudosha fedha haraka inaenda kujenga madarasa machache huku shule zimezingirwa na adarasa chakavu mengi.

Bora wangejenga computer room nakufunga computer kila shule tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…