ccm wanawapenda sana watu wenye akili rahisi kama wewe, mtu kusimamia kitu kwa niaba ya... hakumfanyi yeye kua mmiliki bali kunampa nafasi ya kutimiza wajibu wake kwa niaba ya...Mkuu zile pesa angeamua kununua BARAKOA ingekuwaje?? Ndio maana wanasema ametoa kujengea hayo madarasa, maana bila amri yake huwezi chukua hizo pesa. Chuki kama hizi ndio mpewe NCHI??
wafuasi wengi wa ccm wana akili nyepesi hadi wanatia huruma, eti nawewe hapa umejiona umeandika bonge la point.yaani nyie mataahira kweli unafikiri mungeambiwa zinatumika kutoa elimu ya corona tu mngembishia? acheni ujinga kajioa kuwaeleza anazianyia ktu gani chamuhimu kwenu bado mnaongea utumbo nyau nyie
Si wanayasifia, wapeleke watoto wao humoSasa wewe jamaa unataka kujilinganisha na Waziri???!!
Ndiyo ukweli tupuhapa sasa ndo nimepata jawabu kwa nini wanasema rais ametoa, Jdhamana ya uongozi hawakuipata kwa wananchi bali wamejipa kwa nguvu ya dola ndo maana wanajitukuza.
Tulia mkuuNimeandika wadi?
Kama unashangaa madarasa ya kawaida kama hayo wewe utakuwa umekulia Dodoma au SingidaMnyiramba tena, Mjomba punguza jazba
Wewe jamaa kwanini unachuki sana kwa Rais Samia? Tatizo lako nini?hapa sasa ndo nimepata jawabu kwa nini wanasema rais ametoa, Jdhamana ya uongozi hawakuipata kwa wananchi bali wamejipa kwa nguvu ya dola ndo maana wanajitukuza.
Ungemuwekea picha za shule yako tuioneKama unashangaa madarasa ya kawaida kama hayo wewe utakuwa umekulia Dodoma au Singida
Nyie watu mna kazi kweli kweli. Sasa pesa za Magufuli zimehamia kwa Maza...!View attachment 2059200
==
Baada ya kutazama kipande hiki kifupi cha Video hii wale waliosoma Shule za Msingi na Sekondari za Tanzania wanaweza kukubaliana na Mimi kuwa Rais Samia Suluhu Hassan amekuja na aina mpya kabisa ya Utawala na anafanya vitu kitofauti sana,
Mtakumbuka Rais Samia Suluhu Hassan ametoa Jumla ya madarasa ya aina hii elfu 18 yaani elfu 15 ya Sekondari na elfu 3 ya Shule za Msingi Shikizi,
Tunaamini, Madarasa haya yataongeza hadhi ya wanafunzi na walimu lakini pia yataamsha ari na nguvu ya Wanafunzi kupenda Shule na madarasa yao, Hakika hakuna kama Rais Samia Suluhu Hassan na huenda ikatuchukua miaka mingi kumpata mwingine mwenye upendo kama wake,
Nikitaka kushangaa anadhani madarasa ni ofisi za chama cha ccmKatoa yeye au IMF?...heb weka record zako sawa...
Kwa hakika kwa upande wa majengo hata Mwendazake nampa Credits pamoja na madhaifu yake yote lakin kwenye majengo ya shule serikali imejitahidi, kuna maeneo mengine hadi vyoo vimeezekwa maabati ya msauz!View attachment 2059200
==
Baada ya kutazama kipande hiki kifupi cha Video hii wale waliosoma Shule za Msingi na Sekondari za Tanzania wanaweza kukubaliana na Mimi kuwa Rais Samia Suluhu Hassan amekuja na aina mpya kabisa ya Utawala na anafanya vitu kitofauti sana,
Mtakumbuka Rais Samia Suluhu Hassan ametoa Jumla ya madarasa ya aina hii elfu 18 yaani elfu 15 ya Sekondari na elfu 3 ya Shule za Msingi Shikizi,
Tunaamini, Madarasa haya yataongeza hadhi ya wanafunzi na walimu lakini pia yataamsha ari na nguvu ya Wanafunzi kupenda Shule na madarasa yao, Hakika hakuna kama Rais Samia Suluhu Hassan na huenda ikatuchukua miaka mingi kumpata mwingine mwenye upendo kama wake,
LEGACY NI UKICHAA, HUJUI HISTORIA YA HIYO SHULEKwa hiyo madarasa ya aina hiyo yameanza awamu ya SSH tu?
Nilifikiri unazungumzia majengo kama hili la Ihungo Sec.
View attachment 2059377
Mkuu hii nchi ngumu sana,Yaani nyie mataahira kweli unafikiri mungeambiwa zinatumika kutoa elimu ya corona tu mngembishia? acheni ujinga kajioa kuwaeleza anazianyia ktu gani chamuhimu kwenu bado mnaongea utumbo nyau nyie