Tangu tupate Uhuru mwaka 1961 hatujawahi kuwa na madarasa ya Shule za Serikali ya aina hii

Tangu tupate Uhuru mwaka 1961 hatujawahi kuwa na madarasa ya Shule za Serikali ya aina hii

Mkuu zile pesa angeamua kununua BARAKOA ingekuwaje?? Ndio maana wanasema ametoa kujengea hayo madarasa, maana bila amri yake huwezi chukua hizo pesa. Chuki kama hizi ndio mpewe NCHI??
ccm wanawapenda sana watu wenye akili rahisi kama wewe, mtu kusimamia kitu kwa niaba ya... hakumfanyi yeye kua mmiliki bali kunampa nafasi ya kutimiza wajibu wake kwa niaba ya...
 
yaani nyie mataahira kweli unafikiri mungeambiwa zinatumika kutoa elimu ya corona tu mngembishia? acheni ujinga kajioa kuwaeleza anazianyia ktu gani chamuhimu kwenu bado mnaongea utumbo nyau nyie
wafuasi wengi wa ccm wana akili nyepesi hadi wanatia huruma, eti nawewe hapa umejiona umeandika bonge la point.
 
hapa sasa ndo nimepata jawabu kwa nini wanasema rais ametoa, Jdhamana ya uongozi hawakuipata kwa wananchi bali wamejipa kwa nguvu ya dola ndo maana wanajitukuza.
Wewe jamaa kwanini unachuki sana kwa Rais Samia? Tatizo lako nini?
 
"Tangu tupate Uhuru 09|12|1961 hatujawahi kuwa na madarasa ya Shule za Serikali ya aina hii"...

Utakuwa umesoma maporini si bure...

Kuna shule nzuri za msingi hayo madarasa yanayoonekana kwenye video hayajafikia uzuri wake...tuache kusifia kulikopitiliza
 
acheni kujaza ujinga mbona hayo ni majengo ya kawaida Sana, nenda pale Mpwapwa kuna majengo yamejegwa toka mwaka 1922 na mpaka leo yapo na Yana facilities zote hebu punguzeni uchawa mnasifia Sana mpaka bosi wenu anashangaa
 
Kwa hiyo madarasa ya aina hiyo yameanza awamu ya SSH tu?

Nilifikiri unazungumzia majengo kama hili la Ihungo Sec.

hqdefault.jpg
 
View attachment 2059200
==
Baada ya kutazama kipande hiki kifupi cha Video hii wale waliosoma Shule za Msingi na Sekondari za Tanzania wanaweza kukubaliana na Mimi kuwa Rais Samia Suluhu Hassan amekuja na aina mpya kabisa ya Utawala na anafanya vitu kitofauti sana,

Mtakumbuka Rais Samia Suluhu Hassan ametoa Jumla ya madarasa ya aina hii elfu 18 yaani elfu 15 ya Sekondari na elfu 3 ya Shule za Msingi Shikizi,

Tunaamini, Madarasa haya yataongeza hadhi ya wanafunzi na walimu lakini pia yataamsha ari na nguvu ya Wanafunzi kupenda Shule na madarasa yao, Hakika hakuna kama Rais Samia Suluhu Hassan na huenda ikatuchukua miaka mingi kumpata mwingine mwenye upendo kama wake,
Nyie watu mna kazi kweli kweli. Sasa pesa za Magufuli zimehamia kwa Maza...!
 
View attachment 2059200
==
Baada ya kutazama kipande hiki kifupi cha Video hii wale waliosoma Shule za Msingi na Sekondari za Tanzania wanaweza kukubaliana na Mimi kuwa Rais Samia Suluhu Hassan amekuja na aina mpya kabisa ya Utawala na anafanya vitu kitofauti sana,

Mtakumbuka Rais Samia Suluhu Hassan ametoa Jumla ya madarasa ya aina hii elfu 18 yaani elfu 15 ya Sekondari na elfu 3 ya Shule za Msingi Shikizi,

Tunaamini, Madarasa haya yataongeza hadhi ya wanafunzi na walimu lakini pia yataamsha ari na nguvu ya Wanafunzi kupenda Shule na madarasa yao, Hakika hakuna kama Rais Samia Suluhu Hassan na huenda ikatuchukua miaka mingi kumpata mwingine mwenye upendo kama wake,
Kwa hakika kwa upande wa majengo hata Mwendazake nampa Credits pamoja na madhaifu yake yote lakin kwenye majengo ya shule serikali imejitahidi, kuna maeneo mengine hadi vyoo vimeezekwa maabati ya msauz!
 
Yaani nyie mataahira kweli unafikiri mungeambiwa zinatumika kutoa elimu ya corona tu mngembishia? acheni ujinga kajioa kuwaeleza anazianyia ktu gani chamuhimu kwenu bado mnaongea utumbo nyau nyie
Mkuu hii nchi ngumu sana,
 
Back
Top Bottom