Tangu tupate Uhuru mwaka 1961 hatujawahi kuwa na madarasa ya Shule za Serikali ya aina hii

Ndugu, hivi unawezaje kumlinganisha Mtoto anayezaliwa leo au mwenye Mwaka mmoja na Mtu mzima mwenye Miaka 6? Hivi hawa wanachofanana si ni kwamba ni Binadamu tu? Vingine vyote ni tofauti kubwa kabisa? Sasa vipi unalinganisha Tanzania ya Mwaka 1961 na Tanzania ya 2022?

Tuwe tunakaa na kufikiri cha kuandika kabla hatujaandika!
 



Ndugu embu tuambie kuweka marumaru kwenye darasa hilo moja na tiles, hio hela ingewekwa kwenye mfuko wa maendeleo ya mwanafunzi angepata madaftari mangapi?

Mbona tunakua maskini wa akili? Kujenga darasa kama hilo kijijini ambako mwanafunzi ataingia uniform inaviraka kila kona hio ina faida gani?

Tufanye mambo yenye tija. Tuende kwa budget. Sio kwa sababu hela ziko nyingi na kutaka kupata sifa ndo tufanye over doing
 
Kama mambo ndio haya basi Tanzania kama kuna wakati tumepata Rais bora na wa kweli nadhani ni sasa,Tufanye kazi kwa bidii sana,

Hakika huyu Mama ni Mpango wa Mungu,

#WATANZANIA TUFANYE KAZI KWA BIDII
 
Hizo pesa mbona zipo mkuu, Wacha watoto wafurahi na Tiles
 
" Kwa mwendo huu Tanzania tutafika tunakotaka kwenda tena kwa kuwahi sana, Hongera Mama Samia, Watanzania tuko nyuma yako We chapa kazi achana na Wasio na jema "
 
Prays and worship team in your level best
 
Mkuu jisemee wewe. Enzi shule zinagawanyishwa kuwekwa A B na C ndani ya shule moja ,shule nyingi zilijenga madarasa mapya
 
Nimeelewa sana,
 
Huna uhakika na hicho ulichoandika.
 
Itasadia tutambue Tulikotoka, Tulipo na Tunapokwenda
 
Nipo radhi nisome chini ya mwembe na kukaa juu ya tofari kama utanipatia waalimu wa kutosha kuliko Vice Versa...
 
Walimu elfu 7 wapya wanakuja andaa vyeti vyako
Huoni hata aibu kutaja hio figure mkuu ?

Walimu elfu 7 baada ya miaka mingapi..., (Hivi unajua tangu tupate uhuru kuna kipindi kila mwalimu mwenye cheti chake alikuwa darasani anafundisha) ? Au unadhani Madarasa ndio yanafundisha...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…