Al Mukheef
JF-Expert Member
- Dec 7, 2025
- 315
- 479
Inawezekana mkuu si unaona Davido anahit sana kwao Nigeria ila kwa nje amezidiwa na Burna boy au pale South Africa Scotts Maphuma anatamba kuliko msanii yeyote lakini kwa nje anazidiwa na kina TylaUkubwa unaanzia ndani kwanza.....huwezi ukawa maarafu overseas wakati nyumbani kwenu haujulikani,...mond ni mkubwa na ukubwa ameupata ndani kwanza
Never everNimemkumbuka sana Vee money.
Nilikuwa napenda sana aina ya sound yake,ngoma zake zilikuwa na quality ya juu sana.
Ata ukiwa na music system nzuri utakubaliana na mimi ukiwa unasikiliza ngoma za vannesa mfano
Cash Madame
Hawajui
Nobody But Me
Wet (ft. GNako)
Come Over
Niroge
Kisela
Thatβs For Me
Unaona sound quality ipo poa sana
Kwa ufupi: Dolby Atmos = sauti yake 3D inayokupa experience kama uko ndani ya ngoma zake.
I miss her.
ChaiWakati anastaafu tu tayari alishazidiwa na Nandy
Msanii yupi wa kike anafika level za Vanesa?Ukweli ni kwamba, Vanessa hakuwahi kuwa msanii mkubwa hapa Tz
Alikuwa ni wa moto balaa.Miaka 16 imepita vee money aliachia mkwaju wa NO BODY BUT ME akiwa na K.O haikuwa rahisi........
mkwaju ulipigwa mpaka BET...
Hakuna nyimbo iliwah kupigwa BET miaka hiyo
Nandy na zuchu wanamzidi parefu Sana Huyo mpareMsanii yupi wa kike anafika level za Vanesa?
Vannesa hana ngoma kali zaidi ya hiyo, zingine zote alikuwa anarukaruka tuuMiaka 16 imepita vee money aliachia mkwaju wa NO BODY BUT ME akiwa na K.O haikuwa rahisi........
mkwaju ulipigwa mpaka BET...
Hakuna nyimbo iliwah kupigwa BET miaka hiyo
Nenda kaangalie number za nyimbo walizozitoa kuanzia 2017-2019 na idadi ya tuzo walizozipata hicho kipindiChai
ChaiHuyo mpare hakuwahi kuwa msanii mkubwa bali alikuwa maarufu, huu n ukweli
Nmeona comment uliyofutaChai
Shosti wako au sio πZuchu ana balaa wewe
Wifi yakoShosti wako au sio π
Hizi ni miongoni mwa tuzo alizoshindaSasa yeye huo ukubwa haukuja
Dah π€£Wifi yako
Bc mkuu dah ndo umeenda kuchomoa Makombora Yako yote πHizi ni miongoni mwa tuzo alizoshinda
1. MTV Africa Music Awards
Best Female Artist (2016)
2. African Muzik Magazine Awards
Best Female East Africa (2015 na mwaka 2016)
3. All Africa Music Awards
Best Female Artist in Eastern Africa (2015)
4. HiPipo Music Awards
Alishinda tuzo kadhaa ikiwemo Best Female East Africa
5. Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA)
Alishinda tuzo nyingi sana yani
Best Female Artist
Best R&B Song
Best Collaboration
Pia alikuwa nominated kwenye tuzo zingine kubwa tu mfano tuzo za BET
Zuchu hata kwa nandy hagusi.Vanessa ajafikia hata nusu ya zuchu japo mm sio shabiki wa zuchu
Kwa level alizofikia kipindi kile hakuna aliyefikia kweli ingawa kama angeendelea kuwepo mpaka sasa moto ambao angepelekewa na Zuchu asingeamini macho yakeMsanii yupi wa kike anafika level za Vanesa?