Tangu Vanessa Mdee aache muziki, hakuna mwanamuziki wa kike yeyote aliyeziba pengo lake

Come over na Kisela (ft Mr . P) nazikubali sana.
Vee money was an international female artist .
 
Inawezekana mkuu si unaona Davido anahit sana kwao Nigeria ila kwa nje amezidiwa na Burna boy au pale South Africa Scotts Maphuma anatamba kuliko msanii yeyote lakini kwa nje anazidiwa na kina Tyla
Nitajie uwanja ambao kajaza Burn Boy ambao Davido ameshidwa kujaza Burn kaimba Final UEFA Davido akimba final Kombe la dunia Burn Nigeria ndo hakubaliki
 
Nitajie hitsongs 5 za Vanessa Mdee.

Huyu dada anasifiwa sana kuliko uhalisia wa uwezo wake....Alikua msanii wa kawaida sana sema ni kile kiingereza chake tu ndio kilikua kinawababaisha ninyi washamba.
1)Come over

2)No body but me ft K.O

3)Closer

4)Cash madame ft Casper Nyovest
5)Wet

Juu ft Jux
Kisela
Siri

Nk nk

Bado nyimbo alizoshirikishwa nazo alizitendea haki.
 
Ndio maana mada zako zimejaa utoto kama Zuchu. Mwanaume unapata wapi.muda wa kusikiliza Zuchu
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Eti mtu anaimba

Chaaaapati , chapati, chaaaapati

Au nyingine anaimba

Sukari, sugar,sukari, sukari, sugar sukari eti kwake ndo mkali πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nitajie uwanja ambao kajaza Burn Boy ambao Davido ameshidwa kujaza Burn kaimba Final UEFA Davido akimba final Kombe la dunia Burn Nigeria ndo hakubaliki
Si ndo ambavyo mimi nimesema ama sivyo?
 
Kwa level alizofikia kipindi kile hakuna aliyefikia kweli ingawa kama angeendelea kuwepo mpaka sasa moto ambao angepelekewa na Zuchu asingeamini macho yake
Sasa kwamba na yeye angebaki stagnant?

Vee hategemei lebo kumkuza kama huyo zuchu wenu.

Na miongoni mwa vitu vilivyosababisha akae pembeni kama nilivyotangulia kusema ni maslahi.

Gharama kubwa kwa ajili ya wimbo, shows ili ziwe za kueleweka ila malipo hayaeleweki matokeo unaishia maisha ya kufake fake tu ili ulinde brand.
 
Tuzo za P didy au Tunaangalia sold out mkuu
Burna ndio msanii mkubwa Afrika kwa sasa ukimtoa Tyla
Ana tuzo ya grammy na ndiye msanii mwenye nyimbo nyingi zaidi kwenye billboard chart
Huyo Davido hana hata grammy na huko billboard ana wimbo mmoja tu na wenyewe alishirikishwa tu na Chris Brown
 
Mkuu wewe hufuatilii mbona alishaanza kushuka kuanzia 2017 mwishoni na hapo ndipo Nandy akatawala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…