Sina cha kubishana na weweBurna ndio msanii mkubwa Afrika kwa sasa ukimtoa Tyla
Ana tuzo ya grammy na ndiye msanii mwenye nyimbo nyingi zaidi kwenye billboard chart
Huyo Davido hana hata grammy na huko billboard ana wimbo mmoja tu na wenyewe alishirikishwa tu na Chris Brown
Burna show zake za 30k, 40, 50k arena plus, davido 10k, 20k mwisho.Ndo maana nikasema taja viwanja ambavyo kajaza Burn boy vya Ulaya Davido kashidwa kuvijaza?
Basi angekuwa anafanya show huko mbele ambako angepata pesa zaidi which means asingeacha muziki kwa kusema hauna pesa.Nyimbo zake zilikuwa zinasikilizwa na watu wa mbele huko mkuu
Chai
Nandy yupo vyedi kumzidi Vanessa.Wakati anastaafu tu tayari alishazidiwa na Nandy
Chai
Pitia uzi vizuri dogo usikurupuke.Umeulizwa taja hits 5 za huyo msanii wako hadi sasa kimya. She was ok. She wasn't all that.
Wakati anastaafu tu tayari alishazidiwa na Nandy
Ni kweli ila kipindi Vanessa anaacha kuimba alishashuka kutoka kuwa wa kimataifa mpaka kuwa local na hukohuko local akajikuta anazidiwa na Nandy
Zuchu anabebwa na Wasafi.Zuchu ana balaa wewe
Kuna muda lakini wanaamua na wao kukiwashaNandi na kina Zuchu sio rahisi kusikilizwa na Watu aina fulani. Wapo Local Sana.
Pitia uzi vizuri dogo usikurupuke.
Nimemtajia hits 10 .
Nakaziatbh kwa Tanzania hakuna dada yoyote anaweza kupita kwenye vocals za Ruby.
Duh Wasafi mbona hawajambeba Lavalava, Mbosso au Rayvanny wakawa bora zaidi kuliko Marioo, Harmonize n.kZuchu anabebwa na Wasafi.
Akitoka hapo ndio utajua Zuchu level hata hampati maua Sama
Duh Wasafi mbona hawajambeba Lavalava, Mbosso au Rayvanny wakawa bora zaidi kuliko Marioo, Harmonize n.k
Kwenye Nini? Mbona nyimbo za zuchu zinaenda viral kuliko za NandyZuchu hata kwa nandy hagusi.