Tangu Vanessa Mdee aache muziki, hakuna mwanamuziki wa kike yeyote aliyeziba pengo lake

Nilimjua Vanesa kwenye Dume Challenge,ila kwenye muziki,tunamsingizia kabisa,sijui hata nyimbo zake
 
Hiyo ni opinion yako sio fact.

Fact ni kwamba zuchu yupo juu zaidi ya nandy na vanesa mdee.
Ingekuwa muziki tunaupima kwa mahaba yetu basi diamond hata kwa barnaba hagusi lakini facts ni otherwise.
Hivi na ww zuchu anabebwa na wcb yule angeanza yy km alivyo pambana vee moyen .. Hivi zuchu kuna wanaume kabisa mnasikiliza nyimbo zake. L.. Eti sukari ww mwanaume unasukari ...
 
Hivi na ww zuchu anabebwa na wcb yule angeanza yy km alivyo pambana vee moyen .. Hivi zuchu kuna wanaume kabisa mnasikiliza nyimbo zake. L.. Eti sukari ww mwanaume unasukari ...
Zuchu ni msanii mwenye kipaji kikubwa usikariri eti kwasababu yupo Wasafi Zuchu ana nyimbo nyingi ni hit song na zenye namba kubwa digital platforms Vee money mwenyewe alikuwa na connection hata kabla hajawa msanii wa kuimba kumbuka Hilo, kaanzia kuwa mtangazaji Kwanza huko ndiko katengeneza connection ambayo imemsaidia kwenye mziki.
 
Yule mm wala sina hata nyimbo yake moja.. Yuleni mwimba taarabu alie changamka hakuna kitu mle
 
Nandy na Zuchu bado wako Localized
 
Nitajie hitsongs 5 za Vanessa Mdee.

Huyu dada anasifiwa sana kuliko uhalisia wa uwezo wake....Alikua msanii wa kawaida sana sema ni kile kiingereza chake tu ndio kilikua kinawababaisha ninyi washamba.
Aisee πŸ˜„πŸ™Œ
 
She was overhyped kuliko uhalisia. Hata wewe unafanya kile kile overhyping.
Acha basiii

So Kuna ngoma Gani ya msanii wa bongo wa kike inayo fikia Ngoma ya V money Aliyofanya na reekado banks song Bambino

Hivi ni upofu au ukiziwi wa kutokujua /kusikia vitu vizuri au ni nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…