Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Majuzi nilikuwa natoka msibani saa sita usiku kuelekea home.
Nilipofika puma Tanki Bovu nashuka kuelekea Rainbow nilichokiona ni hatari kwa bahati mbaya sikuwa na uwezo wa kuwasaidia
Pale kona ya Makaburini Luventry nilikuta kijana mmoja na Girlfriend au Mke wake wamekatwa mapanga wanasachiwa. Nilipoopunguza mwendo niliona kundi la vijana kama 10+ wakitokea makaburini nilichofanya ni kuomba mungu gari lisizime na kuongeza speed.
Polisi Kawe wana taarifa ya hii sehemu cha ajabu gari za polisi huzioni mida hio Ila utaziona zinapishana asubuhi mchana jioni kule CHADEMA mchangani sijui nako wanalinda malori yanayobeba mchanga ama.
CC:
Mh Wambura
Mh IGP
Msaada wenu hali imekuwa sio kabisa