witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Ulipita saa sita usiku na miguu?Ningeiona jana hii habari nisingepita mbezi beach kwa kujitawala saa6 usiku
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulipita saa sita usiku na miguu?Ningeiona jana hii habari nisingepita mbezi beach kwa kujitawala saa6 usiku
Au doria kupaki bar huku wakifyonza vya bure!Majuzi nilikuwa natoka msibani saa sita usiku kuelekea home.
Nilipofika puma Tanki Bovu nashuka kuelekea Rainbow nilichokiona ni hatari kwa bahati mbaya sikuwa na uwezo wa kuwasaidia....
Eeh naringa ringa njia nzima pale KKKT najua huku ushuani hamna pigo za keko magurumbasi
Hilo Gari la Doria ( Land Cruiser ) la Polisi Kawe unaloliona mara kwa mara Tanganyika Packers huwa linaenda Kujipendekeza Kumsindikiza Mtume Mwamposa ( hasa Siku za Ibada ) kisha wakimfikisha Kwake huwa wanamuomba Pesa hivyo Kumfanya ni Mtaji wao huku Yeye Mtume Mwamposa nae akijiona ni kama Rais vile anayesindikizwa na King'ora.Vibaka wa hapo karibu na darajani wanajulikana, mwaka juzi nilikuwa nakaa mitaa hiyo. Polisi Doria wanapiga uwanjani pale Tanganyika Packers na Ile Land Cruiser hard top nyeupe huku bondeni huwa wanapiga kwa msimu wale wenye pickup.
Hao vibaka wanakuangalia na kukusoma kabla ya kukupiga kabali, na ukiomba msaada raia wa huko hawatoki.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mpwahukombezibeachmnakaamadoni haokomandoyosowanatokawapi?
Pale darajani kawe nasikia wamerudi.
Juzi nmepewa taarifa na jamaa wa pale safari carnival kuna uwizi ulitokea.
Kuna wakati pale tuliwadhibiti sema sasa tukitoka maeneo hayo wezi vibaka wanarudi.
Yaani kuanzia mbezi ya chini mpk darajani hapo ni shida
Ova
Jamboree bar siku hizi hawakai auHilo Gari la Doria ( Land Cruiser ) la Polisi Kawe unaloliona mara kwa mara Tanganyika Packers huwa linaenda Kujipendekeza Kumsindikiza Mtume Mwamposa ( hasa Siku za Ibada ) kisha wakimfikisha Kwake huwa wanamuomba Pesa hivyo Kumfanya ni Mtaji wao huku Yeye Mtume Mwamposa nae akijiona ni kama Rais vile anayesindikizwa na King'ora.
Huyo Dereva wa hilo Gari kuanzia Saa 3 Usiku ukikaa Baa ya Hipro au Ian au katika Baa yenye Gesti iliyo na Danguro la Malaya iitwayo Igole huwezi Kumkosa. Maaskari wote unaowaona ndani ya Gari hilo la Polisi Kawe ni Wapiga Dili watupu na wana Vinasaba vya Ushirikiano na Makundi yote ya Uhalifu na Majambazi wa huo Ukanda ( eneo hilo ) la Kawe.
Ongezea na washusha mizigo magendo pwaniHilo Gari la Doria ( Land Cruiser ) la Polisi Kawe unaloliona mara kwa mara Tanganyika Packers huwa linaenda Kujipendekeza Kumsindikiza Mtume Mwamposa ( hasa Siku za Ibada ) kisha wakimfikisha Kwake huwa wanamuomba Pesa hivyo Kumfanya ni Mtaji wao huku Yeye Mtume Mwamposa nae akijiona ni kama Rais vile anayesindikizwa na King'ora.
Huyo Dereva wa hilo Gari kuanzia Saa 3 Usiku ukikaa Baa ya Hipro au Ian au katika Baa yenye Gesti iliyo na Danguro la Malaya iitwayo Igole huwezi Kumkosa. Maaskari wote unaowaona ndani ya Gari hilo la Polisi Kawe ni Wapiga Dili watupu na wana Vinasaba vya Ushirikiano na Makundi yote ya Uhalifu na Majambazi wa huo Ukanda ( eneo hilo ) la Kawe.
Nenda na anakolalamika jamaa ukadhibitiPale darajani kawe nasikia wamerudi.
Juzi nmepewa taarifa na jamaa wa pale safari carnival kuna uwizi ulitokea.
Kuna wakati pale tuliwadhibiti sema sasa tukitoka maeneo hayo wezi vibaka wanarudi.
Yaani kuanzia mbezi ya chini mpk darajani hapo ni shida
Ova
Naomba siku nilikute tukio.Majuzi nilikuwa natoka msibani saa sita usiku kuelekea home.
Nilipofika puma Tanki Bovu nashuka kuelekea Rainbow nilichokiona ni hatari kwa bahati mbaya sikuwa na uwezo wa kuwasaidia
Pale kona ya Makaburini Luventry nilikuta kijana mmoja na Girlfriend au Mke wake wamekatwa mapanga wanasachiwa. Nilipoopunguza mwendo niliona kundi la vijana kama 10+ wakitokea makaburini nilichofanya ni kuomba mungu gari lisizime na kuongeza speed.
Polisi Kawe wana taarifa ya hii sehemu cha ajabu gari za polisi huzioni mida hio Ila utaziona zinapishana asubuhi mchana jioni kule CHADEMA mchangani sijui nako wanalinda malori yanayobeba mchanga ama.
CC:
Mh Wambura
Mh IGP
Msaada wenu hali imekuwa sio kabisa
Ni Jambo Lee na siyo Jamboree Ndugu.Jamboree bar siku hizi hawakai au
Ova
Duu,,!!!Majuzi nilikuwa natoka msibani saa sita usiku kuelekea home.