Tanki Bovu maeneo ya Puma na Rainbow sio salama tena kutembea usiku

Tanki Bovu maeneo ya Puma na Rainbow sio salama tena kutembea usiku

Ni uzembe tu wa wakazi wa huko. Nina uhakika wakazi wakijipanga wanasafisha hilo eneo milele. Siku zote nguvu ya umma ni kubwa.

Mnajipanga mchana usiku mnavamia mnaua watu wote watakaopatikana hata kama 20 utaona kama kuna kibaka atasogea hapo
 
Kwa kukusaidia tu ni kwamba hiyo sehemu ni hatarishi sasa mwaka hata wa 20 na hata CDF Mstaafu Jenerali Mboma aliyeko Mita chache kutoka hapo anajua japo Yeye na Familia yake hawajawahi Kuvamiwa nao...
Kama raia wanajua taarifa kiasi hiki, sijui police wanataka ushirikiano gani...we have long way to go!!!
 
Majuzi nilikuwa natoka msibani saa sita usiku kuelekea home.

Nilipofika puma Tanki Bovu nashuka kuelekea Rainbow nilichokiona ni hatari kwa bahati mbaya sikuwa na uwezo wa kuwasaidia...
Pale darajani kawe nasikia wamerudi.

Juzi nmepewa taarifa na jamaa wa pale safari carnival kuna uwizi ulitokea.

Kuna wakati pale tuliwadhibiti sema sasa tukitoka maeneo hayo wezi vibaka wanarudi.

Yaani kuanzia mbezi ya chini mpk darajani hapo ni shida

Ova
 
Pale darajani kawe nasikia wamerudi
Juzi nmepewa taarifa na jamaa wa pale safari carnival kuna uwizi ulitokea
Kuna wakati pale tuliwadhibiti sema sasa tukitoka maeneo hayo wezi vibaka wanarudi
Yaani kuanzia mbezi ya chini mpk darajani hapo ni shida

Ova
Wamerud na 5G speed balaaa
 
Majuzi nilikuwa natoka msibani saa sita usiku kuelekea home.

Nilipofika puma Tanki Bovu nashuka kuelekea Rainbow nilichokiona ni hatari kwa bahati mbaya sikuwa na uwezo wa kuwasaidia...
Hivi mkuu wa kituo cha kawe sahvi ni nani?

Ova
 
Pale darajani kawe nasikia wamerudi
Juzi nmepewa taarifa na jamaa wa pale safari carnival kuna uwizi ulitokea
Kuna wakati pale tuliwadhibiti sema sasa tukitoka maeneo hayo wezi vibaka wanarudi
Yaani kuanzia mbezi ya chini mpk darajani hapo ni shida

Ova
Wote hao wanatokea hapo Kawe kwa Masai katika Camp yao maarufu iitwayo Bongo Msoto na wengine pale Mnarani Kawe nyuma ya Masai Bar Kawe huku Washirika wao wakiwa wanatokea sana Msasani na Mwananyamala.
 
Back
Top Bottom