Tanki Bovu maeneo ya Puma na Rainbow sio salama tena kutembea usiku

Majuzi nilikuwa natoka msibani saa sita usiku kuelekea home.

Nilipofika puma Tanki Bovu nashuka kuelekea Rainbow nilichokiona ni hatari kwa bahati mbaya sikuwa na uwezo wa kuwasaidia....
Au doria kupaki bar huku wakifyonza vya bure!

Tunarudia kusema, JPM atakambukwa kwa mengi, nowadays nobody cares, wengine wamekuwa limbukeni wa ndege, wengine wamerudia uozo wao, wengine kuiba, wengine.

Ni shida kwa kweli..
 
Vibaka wa hapo karibu na darajani wanajulikana, mwaka juzi nilikuwa nakaa mitaa hiyo.
Polisi Doria wanapiga uwanjani pale Tanganyika Packers na Ile Land Cruiser hard top nyeupe huku bondeni huwa wanapiga kwa msimu wale wenye pickup.

Hao vibaka wanakuangalia na kukusoma kabla ya kukupiga kabali, na ukiomba msaada raia wa huko hawatoki.
 
Hilo Gari la Doria ( Land Cruiser ) la Polisi Kawe unaloliona mara kwa mara Tanganyika Packers huwa linaenda Kujipendekeza Kumsindikiza Mtume Mwamposa ( hasa Siku za Ibada ) kisha wakimfikisha Kwake huwa wanamuomba Pesa hivyo Kumfanya ni Mtaji wao huku Yeye Mtume Mwamposa nae akijiona ni kama Rais vile anayesindikizwa na King'ora.

Huyo Dereva wa hilo Gari kuanzia Saa 3 Usiku ukikaa Baa ya Hipro au Ian au katika Baa yenye Gesti iliyo na Danguro la Malaya iitwayo Igole huwezi Kumkosa. Maaskari wote unaowaona ndani ya Gari hilo la Polisi Kawe ni Wapiga Dili watupu na wana Vinasaba vya Ushirikiano na Makundi yote ya Uhalifu na Majambazi wa huo Ukanda ( eneo hilo ) la Kawe.
 
Huwa napita mitaa hyo kila siku nikienda beach kupiga zoezi. Hao vibaka watakua wanatokea kwenye lile bonde la kawe, maana kule hata mchana vijana wanakaba hasa wasipokujua. Ajabu ni kua vibaka wote wanafahamika na weng ni wazawa wa mitaa hyo

Sent from my Android using JamiiForums mobile app
 

Nchi imeoza
 
Jamboree bar siku hizi hawakai au

Ova
 
Ongezea na washusha mizigo magendo pwani

Ova
 
Nenda na anakolalamika jamaa ukadhibiti
 
Naomba siku nilikute tukio.
Maana nitarusha risasi kama mwenda wazimu.
 
Duu,,!!!

Hapo jamaa alipata mtihani mzito sana.

Kuokoa nafsi yake, au akubali mkewe masela wamwagie ndani..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…