Tano bora ya baraza la mawaziri wanaofanya vizuri awamu ya sita

ungetoa ufafanuzi ingependeza wa jinsi wanaofanya kazi
Ufafanuzi upi tena mkuu na wakati kila waziri nimeandika na wizara yake. Ufafanuzi mwingine upi tena wa kufanya uzi uwe mrefu kama unasoma gazeti!!
 
Mkuu Mr Dudumizi, kwanza asante kwa uzi huu, pili asante kuleta uzi wa assessments. Kwa vile umetoa vigezo "wanaofanya vizuri" then weka huo uzuri ili na sisi tuuone, and if possible huo uzuri uwe supported by undisputed visible tangible deliverables za kuonekanika zenye manufaa kwa taifa letu.
P
 
Mimi
Wewe umetaja tano bora, mimi wacha nitaje mawaziri ambao utendaji wao unaudhi ni
1, Mwingulu Lameck Chemba.
2. January Yusuf Makamba.
3. Nape Moses Ninaye.
4. Waziri wa Maliasili na utalii wa sasa.
5............................
 
Kiongozi mwizi wa kura ana heshima gani hadi michango iwe ya heshima? Ukitaka heshima ingia madarakani kwa njia ya heshima, sio uingie madarakani kihuni kisha utake heshima.
Mkuu sasa hivi tupo ktk karne ya 21 ya sayansi na teknolojia.
So usikubari wanasiasa uchwara wakulishe matango pori mabichi bila fact yoyote. Mzee Kikwete alituasa vijana kuwa siku zote akili ya kuambiwa na kina Lisu tuchanganye na zetu zilizo katika vichwa vyetu. Angalia hapo pichani afu ujipe jibu kama kulikuwa na haja ya CCM kuwaibia kura wapinzani.
 

Attachments

  • images (23) (1).jpeg
    31.4 KB · Views: 8
  • images (9).jpeg
    45.7 KB · Views: 6
  • images (7).jpeg
    60 KB · Views: 7
  • images (21).jpeg
    65.9 KB · Views: 4

Ufungue kesi ya kupinga matokeo kwenye mahakama zilizokuwa zinamuogopa Magufuli? Au unadhani wizi ule tulihadithiwa?
 
Mawaziri na manaibu wote wanafanya vizuri. Kwa kweli wanajitahidi...
Changamoto ni nyingi lakini mdogo mdogo wanasogea...
Kweli mkuu, japo wanatofautiana katika utendaji wa kazi lkn wengi utendaji wao mzuri wa kazi unaonekana.
 

Huenda mlidhani bado tuko zama za giza hivyo wizi ule usingefahamika kisa mlizima mitandao. Wizi ule wa kipuuzi tuliuona kwa macho.
 
Mawaziri wengi wanafanya kazi nzuri tuwatie moyo maana changamoto ni nyingi
Bora ww umeliona hilo mkuu, hawa wengine kazi kulalamika hata pale wanapotakiwa kupongeza wao wataponda na kulalamika tu bila sababu.
 
Mkuu Pascal Mayalla kwanza napenda kutumia nafasi hii kuutambua uwepo wako ktk mjadala wetu wa uzi huu.
Pili naomba mnivumilie nikipata mda mzuri nitakuja na kile nlichomaanisha ktk thread hii.
 
Kesi ya ndegere unaipeleka kwa nyani
 
Mimi


Wewe umetaja tano bora, mimi wacha nitaje mawaziri ambao utendaji wao unaudhi ni
1, Mwingulu Lameck Chemba.
2. January Yusuf Makamba.
3. Nape Moses Ninaye.
4. Waziri wa Maliasili na utalii wa sasa.
5............................
Shukran mkuu kwa list hii ya mawaziri wanaokuudhi ktk utawala huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…