Tano bora ya baraza la mawaziri wanaofanya vizuri awamu ya sita

We unaongea sana.uchaguz wa 2020 mim nilisimamia kama msimamiz msaidiz.magufuk alipata kura asilimia 98 na point kadhaa mchana kweupee.
Ilikua ccm 987
Cdm 2
Tadea 1
Na hakuna aliyechakachua wala nin

Ww si ndio uliingia na hizo kura, sasa unategemea kura zingekuwa chini ya hizo ulizoingia nazo?
 
Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika.

Hapa chini ningependa tuorodheshe tano bora ya mawaziri wenye kufanya vizuri zaidi katika serikali hii ya awamu ya sita ya mama yetu mh raisi Samia S. Hassan.

Tukiachana na waziri mkuu ambae yeye ndio mkuu na msimamizi wa shughuli zote za serikali, hiyo chini ni list yang ya mawaziri watano bora katika awamu hii ya mama yetu Samia S. Hassan.

1) waziri wa ulinzi na jeshi la kujenga Taifa- Mh. DKT. Stergomena Lawrence Tax.

2) waziri wa kilimo- Mh. Hussein Bashe.

3) waziri wa maji- Mh. Juma H. Aweso

4) waziri wa utamaduni, sanaa na michezo- Mh. Mohammed O. Mchengerwa.

5) waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki- Mh. Liberata R. Mulamula.

Hii ndio list yangu kwa sasa, ila kama kuna mdau ana list yake ya tano bora ambayo ipo tofauti na hii ya kwangu, basi anaweza kuorodhesha kupitia comment hapo chini.
Hii itasaidia wale mawaziri ambao hawatojiona kwenye list zetu za tano bora wajitafakari kuhusu wapi walipokosea, na nini wakifanye ili kujijengea heshima katika jamii, ili siku nyingine waweze na wao kuwepo kwenye list zetu.

Naomba uzi huu tuuchangie kwa heshima na taadhima. Isiwepo dhihaka, kashfa wala lugha mbaya kwa viongozi wetu na wana JF wenzetu.

Karibuni.
Mimi kwangu NI Mh Rizwan anafaa kuwa Waziri WA Ujenzi
 
Kumbe mashindano ya mawaziri kufanya vizuri yameanza na mmekaa kimya tushituane .
 
Nani aliiba kura wewe? Mnabaki kulalama wakati ilijulikana wazi kwa ule muziki wa magufuli hampati kitu.
Mahakama zilikuepo mnalalama tu. Hata kesi moja ya kupinga matokeo hamkufungua. Hata Mbowe mwenyewe hakufungua kesi kupinga matokeo kwa sababu hakua na ushahidi.
Katiba njiwa inaruhusu kupinga Matokeo mahakamani?
 
BASHE alisema RUZUKU TAR 15 zunguka leo hakuna hata mbolea mtàaani wakulima wanapata tabu sana anaongea sana na vingereza vyake vya to that extent hakuna kitu bure
 
Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika.

Hapa chini ningependa tuorodheshe tano bora ya mawaziri wenye kufanya vizuri zaidi katika serikali hii ya awamu ya sita ya mama yetu mh raisi Samia S. Hassan.

Tukiachana na waziri mkuu ambae yeye ndio mkuu na msimamizi wa shughuli zote za serikali, hiyo chini ni list yang ya mawaziri watano bora katika awamu hii ya mama yetu Samia S. Hassan.

1) waziri wa ulinzi na jeshi la kujenga Taifa- Mh. DKT. Stergomena Lawrence Tax.

2) waziri wa kilimo- Mh. Hussein Bashe.

3) waziri wa maji- Mh. Juma H. Aweso

4) waziri wa utamaduni, sanaa na michezo- Mh. Mohammed O. Mchengerwa.

5) waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki- Mh. Liberata R. Mulamula.

Hii ndio list yangu kwa sasa, ila kama kuna mdau ana list yake ya tano bora ambayo ipo tofauti na hii ya kwangu, basi anaweza kuorodhesha kupitia comment hapo chini.
Hii itasaidia wale mawaziri ambao hawatojiona kwenye list zetu za tano bora wajitafakari kuhusu wapi walipokosea, na nini wakifanye ili kujijengea heshima katika jamii, ili siku nyingine waweze na wao kuwepo kwenye list zetu.

Naomba uzi huu tuuchangie kwa heshima na taadhima. Isiwepo dhihaka, kashfa wala lugha mbaya kwa viongozi wetu na wana JF wenzetu.

Karibuni.
Vigezo gani ulitumia
 
Mleta mada vipi kuhusu list yako, bado umaanini kuwa Aweso anafaa kuendelea kuwepo listini?
 
vigezo vilivyotumika
 
Back
Top Bottom