Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
- Thread starter
- #81
Aweso ameniangusha sana katika list hii.Mleta mada vipi kuhusu list yako, bado umaanini kuwa Aweso anafaa kuendelea kuwepo listini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aweso ameniangusha sana katika list hii.Mleta mada vipi kuhusu list yako, bado umaanini kuwa Aweso anafaa kuendelea kuwepo listini?
Vigezo nilitumia vya uchapaji kazi wao, ila kwa sasa naona ngoma ikisifiwa sana mwisho wake hupasuka pwaaa.vigezo vilivyotumika
Ile nafasi ya ushauri ya Uvccm Kwani umeporwa?Ungemshauri aboreshe wapi🥱Dah aisee mkuu, aweso ananiaibisha sana.
Ndo hivyo bro, siku nyingine ujiridhishe kwanza kabla ya kuja na jambo muhimu kama hilo linalohusu nchi.Aweso ameniangusha sana katika list hii.