Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
- Thread starter
- #41
Uongo ukiongelewa sana mwishoni machoni mwa watu dhaifu huonekana ni ukweli. So sishangai kwa ww uongo huo kuuona ukweli. Dunia nzima kila anaeshindwa huja na sababu za kuibiwa hata pale asipoibiwa.Huenda mlidhani bado tuko zama za giza hivyo wizi ule usingefahamika kisa mlizima mitandao. Wizi ule wa kipuuzi tuliuona kwa macho.
Tumeyaona haya toka 95, 2000, 2005, 2010, 2015 na 2020. Lkn pia hayakuishia kwetu tu hata huko Kenya mliposema kuna tume huru malalamiko yamekuwa hayo hayo, na kilichofanya hilo swala sasa lionekane halina maana tena kwa kila anaeshindwa hata taifa kubwa na linalofahamika kusimamia maadili duniani la Marekani raisi wao aliposhindwa pia alidai kaibiwa, so hiyo ndio njia au fimbo ya mwisho wanaotumia wale wote wanaoshindwa uchaguzi iwe Afrika, Asia au Amerika.
Pole mkuu kwa kuwa ndan ya wale wafata mkumbo.