mwakijembe
JF-Expert Member
- Mar 20, 2017
- 1,664
- 2,324
We unaongea sana.uchaguz wa 2020 mim nilisimamia kama msimamiz msaidiz.magufuk alipata kura asilimia 98 na point kadhaa mchana kweupee.
Ilikua ccm 987
Cdm 2
Tadea 1
Na hakuna aliyechakachua wala nin
Hawa bado wanazunguka zunguka, hawajafikia viwango vinavyohitajika ndo maana unaona kila siku wanalalamikiwa.
Ndo maana nikasema kama kuna mtu ana list tofauti na hii basi aweke ya kwake ya hao 5 bora mkuu.Kama mwigulu hayupo hyo list ni batili
Mimi kwangu NI Mh Rizwan anafaa kuwa Waziri WA UjenziHabari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika.
Hapa chini ningependa tuorodheshe tano bora ya mawaziri wenye kufanya vizuri zaidi katika serikali hii ya awamu ya sita ya mama yetu mh raisi Samia S. Hassan.
Tukiachana na waziri mkuu ambae yeye ndio mkuu na msimamizi wa shughuli zote za serikali, hiyo chini ni list yang ya mawaziri watano bora katika awamu hii ya mama yetu Samia S. Hassan.
1) waziri wa ulinzi na jeshi la kujenga Taifa- Mh. DKT. Stergomena Lawrence Tax.
2) waziri wa kilimo- Mh. Hussein Bashe.
3) waziri wa maji- Mh. Juma H. Aweso
4) waziri wa utamaduni, sanaa na michezo- Mh. Mohammed O. Mchengerwa.
5) waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki- Mh. Liberata R. Mulamula.
Hii ndio list yangu kwa sasa, ila kama kuna mdau ana list yake ya tano bora ambayo ipo tofauti na hii ya kwangu, basi anaweza kuorodhesha kupitia comment hapo chini.
Hii itasaidia wale mawaziri ambao hawatojiona kwenye list zetu za tano bora wajitafakari kuhusu wapi walipokosea, na nini wakifanye ili kujijengea heshima katika jamii, ili siku nyingine waweze na wao kuwepo kwenye list zetu.
Naomba uzi huu tuuchangie kwa heshima na taadhima. Isiwepo dhihaka, kashfa wala lugha mbaya kwa viongozi wetu na wana JF wenzetu.
Karibuni.
Kumbe mashindano ya mawaziri kufanya vizuri yameanza na mmekaa kimya tushituane .Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika.
Hapa chini ningependa tuorodheshe tano bora ya mawaziri wenye kufanya vizuri zaidi katika serikali hii ya awamu ya sita ya mama yetu mh raisi Samia S. Hassan.
Tukiachana na waziri mkuu ambae yeye ndio mkuu na msimamizi wa shughuli zote za serikali, hiyo chini ni list yang ya mawaziri watano bora katika awamu hii ya mama yetu Samia S. Hassan.
1) waziri wa ulinzi na jeshi la kujenga Taifa- Mh. DKT. Stergomena Lawrence Tax.
2) waziri wa kilimo- Mh. Hussein Bashe.
3) waziri wa maji- Mh. Juma H. Aweso
4) waziri wa utamaduni, sanaa na michezo- Mh. Mohammed O. Mchengerwa.
5) waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki- Mh. Liberata R. Mulamula.
Hii ndio list yangu kwa sasa, ila kama kuna mdau ana list yake ya tano bora ambayo ipo tofauti na hii ya kwangu, basi anaweza kuorodhesha kupitia comment hapo chini.
Hii itasaidia wale mawaziri ambao hawatojiona kwenye list zetu za tano bora wajitafakari kuhusu wapi walipokosea, na nini wakifanye ili kujijengea heshima katika jamii, ili siku nyingine waweze na wao kuwepo kwenye list zetu.
Naomba uzi huu tuuchangie kwa heshima na taadhima. Isiwepo dhihaka, kashfa wala lugha mbaya kwa viongozi wetu na wana JF wenzetu.
Karibuni.
Ya hata yeye akiwa waziri kamili anaweza kuonesha uthubutu katika wizara yake. Kwa sasa sikumuweka kwa sababu yeye hayupo kweny list ya mawaziri kamili.Mimi kwangu NI Mh Rizwan anafaa kuwa Waziri WA Ujenzi
Waliopo ni zaidi ya mafisi 😂Tuwaweke mafisi?
Katiba njiwa inaruhusu kupinga Matokeo mahakamani?Nani aliiba kura wewe? Mnabaki kulalama wakati ilijulikana wazi kwa ule muziki wa magufuli hampati kitu.
Mahakama zilikuepo mnalalama tu. Hata kesi moja ya kupinga matokeo hamkufungua. Hata Mbowe mwenyewe hakufungua kesi kupinga matokeo kwa sababu hakua na ushahidi.
Hawatoki kambiniWaliopo ni zaidi ya mafisi 😂
Wale fisi wa kambini sio wezi kabisa 😂Hawatoki kambini
Bashe ni muongo sanaHapo kwa Bashe bora ungemuweka mh. Mbarawa kidogo list ingependeza.
Bashe hakuna kitu Ruzuku ziko wap anaumiza wakukima halafu mapambio mengiSiku ukimuelewa utarudi hapa
Vigezo gani ulitumiaHabari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika.
Hapa chini ningependa tuorodheshe tano bora ya mawaziri wenye kufanya vizuri zaidi katika serikali hii ya awamu ya sita ya mama yetu mh raisi Samia S. Hassan.
Tukiachana na waziri mkuu ambae yeye ndio mkuu na msimamizi wa shughuli zote za serikali, hiyo chini ni list yang ya mawaziri watano bora katika awamu hii ya mama yetu Samia S. Hassan.
1) waziri wa ulinzi na jeshi la kujenga Taifa- Mh. DKT. Stergomena Lawrence Tax.
2) waziri wa kilimo- Mh. Hussein Bashe.
3) waziri wa maji- Mh. Juma H. Aweso
4) waziri wa utamaduni, sanaa na michezo- Mh. Mohammed O. Mchengerwa.
5) waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki- Mh. Liberata R. Mulamula.
Hii ndio list yangu kwa sasa, ila kama kuna mdau ana list yake ya tano bora ambayo ipo tofauti na hii ya kwangu, basi anaweza kuorodhesha kupitia comment hapo chini.
Hii itasaidia wale mawaziri ambao hawatojiona kwenye list zetu za tano bora wajitafakari kuhusu wapi walipokosea, na nini wakifanye ili kujijengea heshima katika jamii, ili siku nyingine waweze na wao kuwepo kwenye list zetu.
Naomba uzi huu tuuchangie kwa heshima na taadhima. Isiwepo dhihaka, kashfa wala lugha mbaya kwa viongozi wetu na wana JF wenzetu.
Karibuni.
Dah aisee mkuu, aweso ananiaibisha sana.Vigezo gani ulitumia
vigezo vilivyotumikaHabari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika.