Mr Dudumizi JF-Expert Member Joined Sep 9, 2020 Posts 7,799 Reaction score 14,215 Oct 28, 2022 Thread starter #81 6 Pack said: Mleta mada vipi kuhusu list yako, bado umaanini kuwa Aweso anafaa kuendelea kuwepo listini? Click to expand... Aweso ameniangusha sana katika list hii.
6 Pack said: Mleta mada vipi kuhusu list yako, bado umaanini kuwa Aweso anafaa kuendelea kuwepo listini? Click to expand... Aweso ameniangusha sana katika list hii.
Mr Dudumizi JF-Expert Member Joined Sep 9, 2020 Posts 7,799 Reaction score 14,215 Oct 28, 2022 Thread starter #82 Kinoamiguu said: vigezo vilivyotumika Click to expand... Vigezo nilitumia vya uchapaji kazi wao, ila kwa sasa naona ngoma ikisifiwa sana mwisho wake hupasuka pwaaa.
Kinoamiguu said: vigezo vilivyotumika Click to expand... Vigezo nilitumia vya uchapaji kazi wao, ila kwa sasa naona ngoma ikisifiwa sana mwisho wake hupasuka pwaaa.
Wildchild JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 19,411 Reaction score 21,938 Oct 28, 2022 #83 Mr Dudumizi said: Dah aisee mkuu, aweso ananiaibisha sana. Click to expand... Ile nafasi ya ushauri ya Uvccm Kwani umeporwa?Ungemshauri aboreshe wapi🥱
Mr Dudumizi said: Dah aisee mkuu, aweso ananiaibisha sana. Click to expand... Ile nafasi ya ushauri ya Uvccm Kwani umeporwa?Ungemshauri aboreshe wapi🥱
6 Pack JF-Expert Member Joined Apr 17, 2022 Posts 2,819 Reaction score 5,996 Oct 29, 2022 #84 Mr Dudumizi said: Aweso ameniangusha sana katika list hii. Click to expand... Ndo hivyo bro, siku nyingine ujiridhishe kwanza kabla ya kuja na jambo muhimu kama hilo linalohusu nchi.
Mr Dudumizi said: Aweso ameniangusha sana katika list hii. Click to expand... Ndo hivyo bro, siku nyingine ujiridhishe kwanza kabla ya kuja na jambo muhimu kama hilo linalohusu nchi.
G goodluck5 JF-Expert Member Joined Jan 8, 2014 Posts 7,092 Reaction score 11,613 Oct 29, 2022 #85 Baadhi ya Mawaziri ni sawa kabisa na wafanyakazi hewa, mfano Jenista Mhagama na Nape!.