Sasa Lori lenye kreti za soda litaharibu vipi barabara? Lazima hiyo barabara iko chini ya viwango. Hivi ingekuwa yale masemi ya Dangote yanayobeba simenti ungesemaje sasa??Kuna mizani ya ya Tanroads ya kupima malori Kati ya arusha na Moshi Tanzania?
Sasa ulitaka wasafirishe mchana halafu wateja wazipate saa ngapi?? Wenye mabar, groceries na maduka wanafanya manunuzi asubuhi ili by saa nne au tano tayari soda zimepoa na wanauza. This just common sense jombaa...Copper inasafirisha usiku tu? Huko soda zinasafirishwa usiku tu.
Kutoka Kigoma kwenda Katavi Kuna Mizani???Wapi Tanzania uliwahi kukuta kati ya mkoa na mkoa Hakuna mizani ya Tanroads?
Kwa hiyo umeona mizigo illnayosafirishwa usiku ni ya Bonite tuu?Mizani ya kupima uzito malori Kati ya arusha na moshi iko eneo gani?
Kwamba uzito wa soda unaharibu barabara?Nadhani tanroads ndo anatakiwa kulaumiwa kwa kujenga barabara zilizo chini ya kiwango....
Sent using Jamii Forums mobile app
Mada iliyotolewa imekamilika vyombo husika vifanyie kazi. Mwisho wa kunukuuKwa hiyo umeona mizigo illnayosafirishwa usiku ni ya Bonite tuu?
Kigoma kwenda katavi kuna barabara ya lami?Kutoka Kigoma kwenda Katavi Kuna Mizani???
Sasa ulitaka wasafirishe mchana halafu wateja wazipate saa ngapi?? Wenye mabar, groceries na maduka wanafanya manunuzi asubuhi ili by saa nne au tano tayari soda zimepoa na wanauza. This just common sense jombaa...
Kutoka Kigoma kwenda Katavi Kuna Mizani???
Unaionaje barabara kati ya Iringa na Morogoro, hauoni kuwa imeharibika, haiko kama ilivyokuwa mwanzo.Mkuu soda sio nzito na haziwezi kuharibu barabara..hapo tatizo ni barabara imejengwa chini ya kiwango....huku tunduma gari zinabeba copper ambayo ni nzito sana na barabara haiharibiki
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha unoko wewe...... usilolijua ni kwamba pale ndani pana mizani ambapo kabla ya kupewa kibali cha kutoka.. uzito hukakikiwa..Somo limeeleweka.
Tanroads fuatilieni malori ya kutoka kiwanda cha soda cha bonite bottlers Moshi , yanayochukua soda kiwandani hapo kupeleka Arusha wanaharibu barabara kwa kuzidisha uzito na Hakuna mizani ya kuyapima malori hayo Kati ya barabara ya Moshi kwenda arusha.
Cha kushangaza na kufurahisha malori hayo huwa yanaanza safari saa moja jioni kuelekea arusha na kurudisha chupa tupu Kesho yake asubuhi.
Tanroads Kilimanjaro babaraba zinaharibika Kila siku hawajawafanya utafiti ni kwanini.
Fuatilieni sasa Mpatie sababu.
Ninaomba kuwasilisha
Hiyo mizani inamilikiwa na Tanroads ?Wacha unoko wewe...... usilolijua ni kwamba pale ndani pana mizani ambapo kabla ya kupewa kibali cha kutoka.. uzito hukakikiwa..
Unatishia nyau? Tanroads simamieni hili la mizani haraka iwezekanavyo .Acha unaa !!! Utatiwa Kutuzi !!!
Mtanzania mzalendoWewe kama nani unahoji
Ninatafuta uteuzi wa kuwa Meneja wa kiwanda cha soda?Unatafuta uteuzi anyway ahsante kuwa mzalendo