Somo limeeleweka.
Tanroads fuatilieni malori ya kutoka kiwanda cha soda cha bonite bottlers Moshi , yanayochukua soda kiwandani hapo kupeleka Arusha wanaharibu barabara kwa kuzidisha uzito na Hakuna mizani ya kuyapima malori hayo Kati ya barabara ya Moshi kwenda arusha.
Cha kushangaza na kufurahisha malori hayo huwa yanaanza safari saa moja jioni kuelekea arusha na kurudisha chupa tupu Kesho yake asubuhi.
Tanroads Kilimanjaro babaraba zinaharibika Kila siku hawajawafanya utafiti ni kwanini.
Fuatilieni sasa Mpatie sababu.
Ninaomba kuwasilisha