TANROADS Mkoa wa Kilimanjaro ifuatilie malori yanayobeba soda kutoka kiwanda cha Bonite Bottlers kwenda Arusha usiku, yanazidisha uzito

TANROADS Mkoa wa Kilimanjaro ifuatilie malori yanayobeba soda kutoka kiwanda cha Bonite Bottlers kwenda Arusha usiku, yanazidisha uzito

Kuna mizani ya ya Tanroads ya kupima malori Kati ya arusha na Moshi Tanzania?
Sasa Lori lenye kreti za soda litaharibu vipi barabara? Lazima hiyo barabara iko chini ya viwango. Hivi ingekuwa yale masemi ya Dangote yanayobeba simenti ungesemaje sasa??
 
Copper inasafirisha usiku tu? Huko soda zinasafirishwa usiku tu.
Sasa ulitaka wasafirishe mchana halafu wateja wazipate saa ngapi?? Wenye mabar, groceries na maduka wanafanya manunuzi asubuhi ili by saa nne au tano tayari soda zimepoa na wanauza. This just common sense jombaa...
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Sasa ulitaka wasafirishe mchana halafu wateja wazipate saa ngapi?? Wenye mabar, groceries na maduka wanafanya manunuzi asubuhi ili by saa nne au tano tayari soda zimepoa na wanauza. This just common sense jombaa...
Kutoka Kigoma kwenda Katavi Kuna Mizani???

938A4A01-FC8E-4AE6-90B9-F4CA82679E3A.jpeg
 
Somo limeeleweka.

Tanroads fuatilieni malori ya kutoka kiwanda cha soda cha bonite bottlers Moshi , yanayochukua soda kiwandani hapo kupeleka Arusha wanaharibu barabara kwa kuzidisha uzito na Hakuna mizani ya kuyapima malori hayo Kati ya barabara ya Moshi kwenda arusha.

Cha kushangaza na kufurahisha malori hayo huwa yanaanza safari saa moja jioni kuelekea arusha na kurudisha chupa tupu Kesho yake asubuhi.

Tanroads Kilimanjaro babaraba zinaharibika Kila siku hawajawafanya utafiti ni kwanini.

Fuatilieni sasa Mpatie sababu.

Ninaomba kuwasilisha
Wacha unoko wewe...... usilolijua ni kwamba pale ndani pana mizani ambapo kabla ya kupewa kibali cha kutoka.. uzito hukakikiwa..
 
Wacha unoko wewe...... usilolijua ni kwamba pale ndani pana mizani ambapo kabla ya kupewa kibali cha kutoka.. uzito hukakikiwa..
Hiyo mizani inamilikiwa na Tanroads ?
Bado ninasisitiza mizani uwekwe Kati ya arusha na moshi huko Kilimanjaro. Barabara zinahujumiwa
 
KUNA WAJINGA WANAHOJI SODA INAHARIBU VIPI BARABARA...HAHAAAA
 
Unatafuta uteuzi anyway ahsante kuwa mzalendo
Ninatafuta uteuzi wa kuwa Meneja wa kiwanda cha soda?

Ukweli upo pale pale malori ya bonire bottlers Haya pike uzito na matokeo yake yangu barabara.

Tanroads arusha na Kilimanjaro wekeni mizani haraka iwezekanavyo Ili kunusuru malori kuharubu barabara zetu.
 
Barabara ya arusha kwenda moshi ninasema na monasticism mizani haraka sana.

Malori yanabeba michanga , mawe na kokoto Eneo la kilimanjaro airport kwenda arusha na moshi hayapimwi uzito.

2. Malori yanabeba magogo kutoka msiri wa west Kilimanjaro kwenda arusha na moshi hayapimwi uzito

3. Malori yanabeba soda kutoka bonite bottlers hayapimwi uzito

4. Malori yanabeba bia kutoka kiwanda cha Serengeti moshi kwenda arusha na Tanzania breweries ltd arusha kwenda Kilimanjaro hayapimwi uzito .

Hadi hapo Tanroads arusha na Kilimanjaro hamjaelewa cha kufanya tu?
 
Back
Top Bottom