TANROADS na kashfa ya kufanya kazi zisizo zao

Stuxnet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
13,417
Reaction score
23,310
Mwendazake aliwa brainwash sana watanzania. Kila alichofanya kilikuwa kinyume cha sheria, lakini walimpigia makofi na wakamuita mzalendo namba 1.

Apart from kujenga viwanja vya ndege inasemekana TANROADS wanahusika na kununua mashine ya kiwanda cha sukari. Kwa utaalamu gani walionao?

TANROADS ulikuwa mpango wake wa kutengeneza mpunga tu. And then akaishia kuwatukuza akina Mfugale na Kijazi kama watakatifu fulani kwa kuibatiza miundombinu yetu kwa majina yao.

No wonder Mungu anajuwa namna hii pembetatu ya uovu ya Magufuli, Kijazi na Mfugale ndipo kaamuwa kuwatanguliza kuzimu wote mwaka jana na 2020.

IMG-20220420-WA0017.jpg
 
Mwendazake aliwa brainwash sana watanzania. Kila alichofanya kulikuwa kinyume cha sheria, lakini walimpigia makofi na wakamuita mzalendo namba 1.

Apart from kujenga viwanja vya ndege inasemekana TANROADS wanahusika na kununua mashine ya kiwanda cha sukari. Kwa utaalamu gani walionao?? TANROADS ulikuwa mpango wake wa kutengeneza mpunga tu. And then akaishia kuwatukuza akina Mfugale na Kijazi kama watakatifu fulani kwa kuibatiza miundombinu yetu kwa majina yao. No wonder Mungu anajuwa namna hii pembetatu ya uovu ya Magufuli, Kijazi na Mfugale ndipo kaamuwa kiwatanguliza kuzimu wote mwaka jana na 2020View attachment 2193737
Sasa wasingejiongezea hayo mabilioni hiyo Mfugale tower, si ingekuwa kimsonge Tu!?
Yaani alikuwa na upendeleo Kwa jamaa zake uliovuka mipaka! Nepotism ya another next level!
 
Mwendazake aliwa brainwash sana watanzania. Kila alichofanya kulikuwa kinyume cha sheria, lakini walimpigia makofi na wakamuita mzalendo namba 1.

Apart from kujenga viwanja vya ndege inasemekana TANROADS wanahusika na kununua mashine ya kiwanda cha sukari. Kwa utaalamu gani walionao?? TANROADS ulikuwa mpango wake wa kutengeneza mpunga tu. And then akaishia kuwatukuza akina Mfugale na Kijazi kama watakatifu fulani kwa kuibatiza miundombinu yetu kwa majina yao. No wonder Mungu anajuwa namna hii pembetatu ya uovu ya Magufuli, Kijazi na Mfugale ndipo kaamuwa kiwatanguliza kuzimu wote mwaka jana na 2020View attachment 2193737
Kwa nionavyo mimi ujenzi wa viwanja vya ndege umekuwa na tija kipindi ulipohamishiwa TANROADS kuliko ulivyokuwa TAA. Hii ikiwa ni pamoja na ujenzi wa JNIA Terminal III (sasa hivi naambiwa umesainiwa mkataba wa ukarabati wa JNIA Terminal II), Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Songwe, Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Iringa (Nduli), Ukarabati wa Viwanja vya ndege vya Songea, Mtwara, Kigoma na Tabora. Vilevile ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Msalato (Dodoma). Sasa hivi TANROADS imeingia mikataba kwa ajili ya Ujenzi na Ukarabati wa Viwanja vya Ndege vya Manyara, Tanga, Moshi na Musoma. Kurudisha TAA jukumu la ujenzi na ukarabati wa viwanja vya ndege tutapiga hatua nyingi nyuma.
 
Kwahiyo Rais anaweza kuwapa wizara ya kilimo majukumu ya wizara ya afya?
Kuna factor za kuangalia. Serikali inaangalia mfanano wa majukumu hayo, capacity ya taasisi na uzoefu katika eneo.
Kwa mfano kuja majukumu ya iliyokuwa TFDA yamehamishiwa TBS kutokana na uzoefu na mfanano.
Na kuhamisha majukumu inaweza kuwa by presidential order ya waraka, barua, gazette, bill or decree.
 
Kwa nionavyo mimi ujenzi wa viwanja vya ndege umekuwa na tija kipindi ulipohamishiwa TANROADS kuliko ulivyokuwa TAA. Hii ikiwa ni pamoja na ujenzi wa JNIA Terminal III (sasa hivi naambiwa umesainiwa mkataba wa ukarabati wa JNIA Terminal II), Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Songwe, Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Iringa (Nduli), Ukarabati wa Viwanja vya ndege vya Songea, Mtwara, Kigoma na Tabora. Vilevile ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Msalato (Dodoma). Sasa hivi TANROADS imeingia mikataba kwa ajili ya Ujenzi na Ukarabati wa Viwanja vya Ndege vya Manyara, Tanga, Moshi na Musoma. Kurudisha TAA jukumu la ujenzi na ukarabati wa viwanja vya ndege tutapiga hatua nyingi nyuma.
Yani uanzishe PPRA halafu mambo ya manunuzi uhamishie Takukuru utakuwa mzima kichwani?
 
Kuna factor za kuangalia. Serikali inaangalia mfanano wa majukumu hayo, capacity ya taasisi na uzoefu katika eneo.
Kwa mfano kuja majukumu ya iliyokuwa TFDA yamehamishiwa TBS kutokana na uzoefu na mfanano.
Na kuhamisha majukumu inaweza kuwa by presidential order ya waraka, barua, gazette, bill or decree.
Na unaamini kuwa TBS wana uwezo kusimamia chakula kuliko iliyokuwa TFDA? This was one of incompetent decisions of Magufuli regime
 
Na unaamini kuwa TBS wana uwezo kusimamia chakula kuliko ikiyokuwa TFDA? This was one of incompetent decision of Magufuli regime
Leta ushahidi kama imefeli mahali. 3 yeara now, TBS wanasimamia chakula.
 
Mwendazake aliwa brainwash sana watanzania. Kila alichofanya kulikuwa kinyume cha sheria, lakini walimpigia makofi na wakamuita mzalendo namba 1.

Apart from kujenga viwanja vya ndege inasemekana TANROADS wanahusika na kununua mashine ya kiwanda cha sukari. Kwa utaalamu gani walionao?

TANROADS ulikuwa mpango wake wa kutengeneza mpunga tu. And then akaishia kuwatukuza akina Mfugale na Kijazi kama watakatifu fulani kwa kuibatiza miundombinu yetu kwa majina yao.

No wonder Mungu anajuwa namna hii pembetatu ya uovu ya Magufuli, Kijazi na Mfugale ndipo kaamuwa kiwatanguliza kuzimu wote mwaka jana na 2020.

View attachment 2193737
TANROADS wamejenga viwanja vingi vya ndege Tanzania, walikuwa na pesa na walikuwa na mainjinia. Hivyo upo uhalali wa wao kufanya miradi mingi ya wakati ule.

JPM hakutaka kuandaa mainjinia wengine kwa ajili ya kuiboresha TAA na hata walipokuja wakaguzi wa mamlaka za ndege kutoka Canada tulipunguziwa alama fulani na sababu haswa ilikuwa ni TAA kutovisimamia viwanja vya ndege kwa maana ya ujenzi na ukarabati wake.

JPM kwa ubishi wake akakubali TCAA wapate alama 65 za ubora wa viwango vya utendaji wakati wangeweza kupata hata alama 85 kama TAA wangekuwa na sauti juu ya viwanja vya ndege.
 
Back
Top Bottom