Midimay
JF-Expert Member
- Apr 12, 2015
- 3,036
- 5,039
Any of the two. Kwani mnadhani mama yeye atawabembeleza kwa kila jambo hadi 2030?Kwa kufuata utaratibu au kibabe babe tu??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Any of the two. Kwani mnadhani mama yeye atawabembeleza kwa kila jambo hadi 2030?Kwa kufuata utaratibu au kibabe babe tu??
No excuse huo ni ufisadi tu. Kwani TANROADS wana efficiency gani ? Mbona barabara za Tanzania ni shida tupu? Wana miradi ambayo nao wanashindwa kumaliza, wana vipande vya barabara ambavyo vimejengwa hovyo hovyo kama Mlandizi kwenda Chalinze!!Serikali (Rais) huwa inaangalia ni taasisi gani inaweza kufanya kazi husika na kuleta tija. Ndipo huamua kuipa taasisi fulani dhamana.
Huo ndiyo UFISADI wenyewe. Mtu mmoja anapoamua kupindisha vitu vilivyopo kisheria ni red flag ya corruption.TANROADS wamejenga viwanja vingi vya ndege Tanzania, walikuwa na pesa na walikuwa na mainjinia. Hivyo upo uhalali wa wao kufanya miradi mingi ya wakati ule.
JPM hakutaka kuandaa mainjinia wengine kwa ajili ya kuiboresha TAA na hata walipokuja wakaguzi wa mamlaka za ndege kutoka Canada tulipunguziwa alama fulani na sababu haswa ilikuwa ni TAA kutovisimamia viwanja vya ndege kwa maana ya ujenzi na ukarabati wake.
JPM kwa ubishi wake akakubali TCAA wapate alama 65 za ubora wa viwango vya utendaji wakati wangeweza kupata hata alama 85 kama TAA wangekuwa na sauti juu ya viwanja vya ndege.
Kama wizara ya afya wapo kufanya kazi za twitter tuKwahiyo Rais anaweza kuwapa wizara ya kilimo majukumu ya wizara ya afya?
Watu wazito wenye heshima zao kama wale hawawezi kuja hapa kubishana na wewe.No excuse huo ni ufisadi tu. Kwani TANROADS wana efficiency gani ? Mbona barabara za Tanzania ni shida tupu? Wana miradi ambayo nao wanashindwa kumaliza, wana vipande vya barabara ambavyo vimejengwa hovyo hovyo kama Mlandizi kwenda Chalinze!!
Tusidanganyane Magufuli njia yake nyepesi ya kuiba fedha ilikuwa ni kuwatumia watu wake alikuwanao TANROADS na TANROADS yenyewe.
Usikute hata wewe Midimay waweza kuwa Deus Kakoko au Dotto James maana ndiyo kati ya wale alikuwa nao TANROADS
Mkuu Stuxnet hapo huo ufisadi ni hisia zako tu. Sidhani kama kuna kiongozi afrika hii ambaye anaweza kuingia ikulu na kuondoka asiwe hajapiga hata senti moja.Huo ndiyo UFISADI wenyewe. Mtu mmoja anapoamua kupindisha vitu vilivyopo kisheria ni red flag ya corruption.
Kwani TANROADS mainjinia wao wanatoka mbinguni? Hao si wamesoma vyuo vyetu pamoja na mainjinia wa TAA!!
Kama issue ilikuwa ni funding basi angeongeza bajeti kule TAA. Lakini hakufanya hivyo kwa vile hakuwa na uhakika na viongizi wa TAA kama watammpa mgawo wake wa RUSHWA kama wanavyofanya TANROADS ambao amekuwa nao tangu enzi akiwa Waziri wa ujenzi kipindi cha Mkapa.
Muache huyu Mwendazake azidi kuungua na moto wa jehanam kwakweli
Kwani ajabu?Kwahiyo Rais anaweza kuwapa wizara ya kilimo majukumu ya wizara ya afya?
Funguka kidogo ubongo. Marehemu alikuwa anasema yeye ni Rais wa wanyonge na alikuwa anachukia mafisadi wa mali ya umma.Mkuu Stuxnet hapo huo ufisadi ni hisia zako tu. Sidhani kama kuna kiongozi afrika hii ambaye anaweza kuingia ikulu na kuondoka asiwe hajapiga hata senti moja.
Huwa tunawaamini wanasiasa tunaowachagua wanabeba dhamana ya kiuongozi tunayowapa hivyo ni suala la imani zaidi. Hakuna malaika anayekabidhiwa nchi.
Ya Samia utakuja kuyasikia baada ya yeye kuwa ameshaondoka madarakani.
Kwahiyo Rais anaweza kuwapa wizara ya kilimo majukumu ya wizara ya afya?
Kama hizo kazi zimefanyika kweli kuna ubaya gani?
Shida ingekuja kama hizo kazi hawakufanya.
Nyumbu msiwe watumwa wa minyororo yenu wenyewe.
Sasa ndio mtulie,msilete nyokonyoko kwenye utawala wa Samia kkkkenge nyie,,maana kila uchafu wa maggufuli mnaubariki mmmmbwa nyyyyyieKama Rais aliwaagiza au aliwapa maelekezo kufanya hizo kazi, ulitaka wazikatae? Madaraka ni yale yale.
Ni matamu kwa Msoga Gang kama yalivyokuwa matamu kwa Sukuma Gang.
Kama hizo kazi zimefanyika kweli kuna ubaya gani?
Shida ingekuja kama hizo kazi hawakufanya.
Nyumbu msiwe watumwa wa minyororo yenu wenyewe.
TANROAD kuna washikaji zake sn ndiyo maana mameneja wengi wa TANROAD walipewa mikataba baada ya kustaafuMwendazake aliwa brainwash sana watanzania. Kila alichofanya kilikuwa kinyume cha sheria, lakini walimpigia makofi na wakamuita mzalendo namba 1.
Apart from kujenga viwanja vya ndege inasemekana TANROADS wanahusika na kununua mashine ya kiwanda cha sukari. Kwa utaalamu gani walionao?
TANROADS ulikuwa mpango wake wa kutengeneza mpunga tu. And then akaishia kuwatukuza akina Mfugale na Kijazi kama watakatifu fulani kwa kuibatiza miundombinu yetu kwa majina yao.
No wonder Mungu anajuwa namna hii pembetatu ya uovu ya Magufuli, Kijazi na Mfugale ndipo kaamuwa kuwatanguliza kuzimu wote mwaka jana na 2020.
View attachment 2193737
Wafuasi wa Magufuli hawana akili,na kipindi kile ilikuwa hivyohivyo,kila uchafu wa magufuli wanausifia,yaan wamemgeuza mungu wao, halafu Cha ajabu leo wanajifanya kukosoa kasoro ndogo kwenye utawala wa Samia,Tena kasoro zenyewe zakutunga waoKwahiyo Rais anaweza kuwapa wizara ya kilimo majukumu ya wizara ya afya?
Mpuuzi weweKuna factor za kuangalia. Serikali inaangalia mfanano wa majukumu hayo, capacity ya taasisi na uzoefu katika eneo.
Kwa mfano kuja majukumu ya iliyokuwa TFDA yamehamishiwa TBS kutokana na uzoefu na mfanano.
Na kuhamisha majukumu inaweza kuwa by presidential order ya waraka, barua, gazette, bill or decree.
Mama hawezi fanya Kama yule mwehuAny of the two. Kwani mnadhani mama yeye atawabembeleza kwa kila jambo hadi 2030?
Hii ni imani yako na upande unaouunga mkono unafahamika vyema. JPM alifanya mengi sana ya kizalendo na mabaya vile vile japokuwa mabaya kwa asili ya binadamu ndio yanayouza sana magazetini na mitandaoni.Funguka kidogo ubongo. Marehemu alikuwa anasema yeye ni Rais wa wanyonge na alikuwa anachukia mafisadi wa mali ya umma.
Kumbe sivyo, Magufuli alikuwa anataka apige hela peke yake na aliohisi wana hela aliwachukia. Ndiyo maana tunamsema
Binadamu tumeumbwa tufanye mema na ndiyo sababu itakayotufikisha kwenye ufalme wa Mungu. Kuyafumbia mabaya ya Magufuli eti kwa vile amejenga flyover ya Ubungo na Tazara ni UPUMBAVU.Hii ni imani yako na upande unaouunga mkono unafahamika vyema. JPM alifanya mengi sana ya kizalendo na mabaya vile vile japokuwa mabaya kwa asili ya binadamu ndio yanayouza sana magazetini na mitandaoni.
Mapimbi ni wengi tu kwa vigezo vyako vya urais. Kwamba wanaapa ili wayafanye wanayoyafanya sio hoja nzito sana.Binadamu tumeumbwa tufanye mema na ndiyo sababu itakayotufikisha kwenye ufalme wa Mungu. Kuyafumbia mabaya ya Magufuli eti kwa vile amejenga flyover ya Ubungo na Tazara ni UPUMBAVU.
Hayo mnayoyaita mazuri ni kazi za Rais na ndiyo tumempa kura kwa kazi hizo na aliapa Katiba kuzifanya kazi hizo. Isitoshe hakuna Rais ambaye hakufanya makubwa kwenye ujenzi wa miundombinu.
Huyu pimbi lazima tumuandike sana ili hata miaka 100 ijayo asijetokea Rais mwingine akafanya UFEDHULI kama huo.
Ushahidi wa mauaji upo ni suala la muda tu. Ben Saanane na Azory Gwanda wameuliwa kwa amri yake, Tundu Lissu ameshambuliwa kwa amri yake na MoDewji alitekwa na watu aliowatuma.Mapimbi ni wengi tu kwa vigezo vyako vya urais. Kwamba wanaapa ili wayafanye wanayoyafanya sio hoja nzito sana.
Marais wangapi walipita Tanzania tangu 1973 wakati Nyerere alipopitisha agizo la kuhamia Dodoma?, ni mpaka JPM ndio kaja kuijenga Dodoma.
Marais wangapi walikuwa wanaangalia tu ATCL ikiwa imejifia miaka na miaka?, ni mpaka JPM alipokuja na kuwa na uthubutu wa kulifufua shirika la ndege.
Kwamba wanaapa ili watekeleze yaliyomo ndani ya ilani lakini unahitajika uthubutu wa hali ya juu kuweza kuyatekeleza.
Hakuna kitu kigumu kama kuanzisha mradi mkubwa, unataka mtaji mkubwa wa pesa. Ambao JPM aliweza kuwa nao na ndio akawa na jeuri ya kuanzisha mengi aliyoyaanzisha.
Hayo ya mauaji ni tuhuma tu, ambazo hakuna awezaye kuweka wazi ushahidi wa asilimia mia moja wenye kuweza kumtia hatiani kiongozi anayetuhumiwa. Hata Samia nae awamu yake wameanza kuteka watu haswa mwanasheria mmoja msomi katekwa tangu jana, huwezi moja kwa moja ukamhusisha Samia na huo unyama kama huna ushahidi wenye kujitosheleza.