Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Yote uliyoaandika ni tuhuma tu za mitandaoni. Mfano wa kwanza kabisa ni suala la manunuzi ya ndege. Unapoitangaza nchi pasipo kuwa na shirika hai la ndege ni sawa na kutangwa maji ndani ya kinu.Ushahidi wa mauaji upo ni suala la muda tu. Ben Saanane na Azory Gwanda wameuliwa kwa amri yake, Tundu Lissu ameshambuliwa kwa amri yake na MoDewji alitekwa na watu aliowatuma.
Kuhamia Dodoma ni matumizi mabaya fedha, ndiyo maana hata Nyerere mwenyewe hakutilia mkazo.
Ununuzi wa ndege kwa fedha taslimu ulikuwa na msukimo wa rushwa ndiyo maana hakufuata sheria za manunuzi
Hayo masuala ya mauaji ni tuhuma nyingine ambazo haziwezi kuthibitishwa zaidi ya kuwa ni maneno ya Bar.
JPM yupo ndani ya hisia za watanzania kwa kuwa na uwezo wa kuthubutu kufanya mambo makubwa, alikuwa ni binadamu mwenye udhaifu wake mwingi tu lakini hiyo sifa ya uthubutu hata wanaharakati wakubwa kama Mzee Ulimwengu anaizungumzia mara nyingi.