Kwahiyo Rais anaweza kuwapa wizara ya kilimo majukumu ya wizara ya afya?Serikali (Rais) huwa inaangalia ni taasisi gani inaweza kufanya kazi husika na kuleta tija. Ndipo huamua kuipa taasisi fulani dhamana.
Sasa wasingejiongezea hayo mabilioni hiyo Mfugale tower, si ingekuwa kimsonge Tu!?Mwendazake aliwa brainwash sana watanzania. Kila alichofanya kulikuwa kinyume cha sheria, lakini walimpigia makofi na wakamuita mzalendo namba 1.
Apart from kujenga viwanja vya ndege inasemekana TANROADS wanahusika na kununua mashine ya kiwanda cha sukari. Kwa utaalamu gani walionao?? TANROADS ulikuwa mpango wake wa kutengeneza mpunga tu. And then akaishia kuwatukuza akina Mfugale na Kijazi kama watakatifu fulani kwa kuibatiza miundombinu yetu kwa majina yao. No wonder Mungu anajuwa namna hii pembetatu ya uovu ya Magufuli, Kijazi na Mfugale ndipo kaamuwa kiwatanguliza kuzimu wote mwaka jana na 2020View attachment 2193737
Swali nzuri sana au muulize wizara ya kilimo inaweza pesa majukumu ya wizara ya ulinzi akikujib nitagKwahiyo Rais anaweza kuwapa wizara ya kilimo majukumu ya wizara ya afya?
Kwa nionavyo mimi ujenzi wa viwanja vya ndege umekuwa na tija kipindi ulipohamishiwa TANROADS kuliko ulivyokuwa TAA. Hii ikiwa ni pamoja na ujenzi wa JNIA Terminal III (sasa hivi naambiwa umesainiwa mkataba wa ukarabati wa JNIA Terminal II), Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Songwe, Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Iringa (Nduli), Ukarabati wa Viwanja vya ndege vya Songea, Mtwara, Kigoma na Tabora. Vilevile ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Msalato (Dodoma). Sasa hivi TANROADS imeingia mikataba kwa ajili ya Ujenzi na Ukarabati wa Viwanja vya Ndege vya Manyara, Tanga, Moshi na Musoma. Kurudisha TAA jukumu la ujenzi na ukarabati wa viwanja vya ndege tutapiga hatua nyingi nyuma.Mwendazake aliwa brainwash sana watanzania. Kila alichofanya kulikuwa kinyume cha sheria, lakini walimpigia makofi na wakamuita mzalendo namba 1.
Apart from kujenga viwanja vya ndege inasemekana TANROADS wanahusika na kununua mashine ya kiwanda cha sukari. Kwa utaalamu gani walionao?? TANROADS ulikuwa mpango wake wa kutengeneza mpunga tu. And then akaishia kuwatukuza akina Mfugale na Kijazi kama watakatifu fulani kwa kuibatiza miundombinu yetu kwa majina yao. No wonder Mungu anajuwa namna hii pembetatu ya uovu ya Magufuli, Kijazi na Mfugale ndipo kaamuwa kiwatanguliza kuzimu wote mwaka jana na 2020View attachment 2193737
Kuna sababu gani kutunga sheria za kuongoza Taasisi na kupambanua wajibu na mipaka yake !Serikali (Rais) huwa inaangalia ni taasisi gani inaweza kufanya kazi husika na kuleta tija. Ndipo huamua kuipa taasisi fulani dhamana.
Hahahaha akimjibu anitagg na mieSwali nzuri sana au muulize wizara ya kilimo inaweza pesa majukumu ya wizara ya ulinzi akikujib nitag
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Kuna factor za kuangalia. Serikali inaangalia mfanano wa majukumu hayo, capacity ya taasisi na uzoefu katika eneo.Kwahiyo Rais anaweza kuwapa wizara ya kilimo majukumu ya wizara ya afya?
Yani uanzishe PPRA halafu mambo ya manunuzi uhamishie Takukuru utakuwa mzima kichwani?Kwa nionavyo mimi ujenzi wa viwanja vya ndege umekuwa na tija kipindi ulipohamishiwa TANROADS kuliko ulivyokuwa TAA. Hii ikiwa ni pamoja na ujenzi wa JNIA Terminal III (sasa hivi naambiwa umesainiwa mkataba wa ukarabati wa JNIA Terminal II), Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Songwe, Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Iringa (Nduli), Ukarabati wa Viwanja vya ndege vya Songea, Mtwara, Kigoma na Tabora. Vilevile ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Msalato (Dodoma). Sasa hivi TANROADS imeingia mikataba kwa ajili ya Ujenzi na Ukarabati wa Viwanja vya Ndege vya Manyara, Tanga, Moshi na Musoma. Kurudisha TAA jukumu la ujenzi na ukarabati wa viwanja vya ndege tutapiga hatua nyingi nyuma.
Inaweza akawapeleke walimu wa CWT wakawe wahandisi TANROADKwahiyo Rais anaweza kuwapa wizara ya kilimo majukumu ya wizara ya afya?
Tanzania inawezekanaKwahiyo Rais anaweza kuwapa wizara ya kilimo majukumu ya wizara ya afya?
Na unaamini kuwa TBS wana uwezo kusimamia chakula kuliko iliyokuwa TFDA? This was one of incompetent decisions of Magufuli regimeKuna factor za kuangalia. Serikali inaangalia mfanano wa majukumu hayo, capacity ya taasisi na uzoefu katika eneo.
Kwa mfano kuja majukumu ya iliyokuwa TFDA yamehamishiwa TBS kutokana na uzoefu na mfanano.
Na kuhamisha majukumu inaweza kuwa by presidential order ya waraka, barua, gazette, bill or decree.
Leta ushahidi kama imefeli mahali. 3 yeara now, TBS wanasimamia chakula.Na unaamini kuwa TBS wana uwezo kusimamia chakula kuliko ikiyokuwa TFDA? This was one of incompetent decision of Magufuli regime
TANROADS wamejenga viwanja vingi vya ndege Tanzania, walikuwa na pesa na walikuwa na mainjinia. Hivyo upo uhalali wa wao kufanya miradi mingi ya wakati ule.Mwendazake aliwa brainwash sana watanzania. Kila alichofanya kulikuwa kinyume cha sheria, lakini walimpigia makofi na wakamuita mzalendo namba 1.
Apart from kujenga viwanja vya ndege inasemekana TANROADS wanahusika na kununua mashine ya kiwanda cha sukari. Kwa utaalamu gani walionao?
TANROADS ulikuwa mpango wake wa kutengeneza mpunga tu. And then akaishia kuwatukuza akina Mfugale na Kijazi kama watakatifu fulani kwa kuibatiza miundombinu yetu kwa majina yao.
No wonder Mungu anajuwa namna hii pembetatu ya uovu ya Magufuli, Kijazi na Mfugale ndipo kaamuwa kiwatanguliza kuzimu wote mwaka jana na 2020.
View attachment 2193737
Chawa wa mwendazake akikujibu nishitue.Yani uanzishe PPRA halafu mambo ya manunuzi uhamishie Takukuru utakuwa mzima kichwani?
Kwa kufuata utaratibu au kibabe babe tu??Kama taasisi fulani haiwezi kutekeleza jukumu hilo, hunyang'anywa